Results for wazinzi translation from Swahili to Russian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Russian

Info

Swahili

niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.

Russian

Я писал вам в послании – не сообщаться с блудниками;

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndoa inapaswa kuheshimiwa na watu wote, na haki zake zitekelezwe kwa uaminifu. mungu atawahukumu waasherati na wazinzi.

Russian

Брак у всех да будет честен и ложе непорочно; блудников же и прелюбодеев судит Бог.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mbwa, wachawi, wazinzi, wauaji, waabudu sanamu na wote wanaopenda kusema uongo, watakaa nje ya mji.

Russian

А вне – псы и чародеи, и любодеи, и убийцы, и идолослужители, и всякий любящий и делающий неправду.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alikuwa ameandikwa juu ya paji la uso wake jina la fumbo "babuloni mkuu, mama wa wazinzi na wa mambo yote ya kuchukiza sana duniani."

Russian

и на челе ее написано имя: тайна, Вавилон великий, мать блудницам и мерзостям земным.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ninyi ni watu msio na uaminifu kama wazinzi. je, hamjui kwamba kuwa rafiki wa ulimwengu ni kuwa adui wa mungu? yeyote anayetaka kuwa rafiki wa ulimwengu anajifanya adui wa mungu.

Russian

Прелюбодеи и прелюбодейцы! не знаете ли, что дружба с миром есть вражда против Бога? Итак, кто хочет быть другом миру, тот становится врагом Богу.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

au je, hamjui kwamba watu wabaya hawataurithi utawala wa mungu? msijidanganye! watu wanaoishi maisha ya uasherati, wanaoabudu sanamu, wazinzi, au walawiti,

Russian

Или не знаете, что неправедные Царства Божия не наследуют? Не обманывайтесь: ни блудники, ни идолослужители, нипрелюбодеи, ни малакии, ни мужеложники,

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo mfarisayo akasimama, akasali kimoyomoyo: ee mungu, nakushukuru kwa vile mimi si kama watu wengine: walafi, wadanganyifu au wazinzi. nakushukuru kwamba mimi si kama huyu mtoza ushuru.

Russian

Фарисей, став, молился сам в себе так: Боже! благодарю Тебя, что я не таков, как прочие люди, грабители, обидчики, прелюбодеи, или как этот мытарь:

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,915,423,900 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK