From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
watu wengi wamekasirishwa na namna baadhi ya watu wanavyoguswa na uharibifu wa historia na kuhamisha vito vya thamani badala ya kusikitishwa na kupotea kwa maisha ya sasa kunakotokana na mateso yanayoendelea nchini syria.
О состоянии музеев и оценке степени их разрушения на странице написано следующее :
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
baadhi yao walifanya kazi na blogu ya pamoja iitwayo zone9 inayochambua masuala ya kijamii na kisiasa yanayoendelea nchini ethiopia ikiwa ni pamoja na kukuza uelewa wa haki za binadamu na uwajibikaji wa serikali kwa wananchi.
Несколько из этих женщин и мужчин сотрудничали с zone9, коллективным блогом , освещавшим социальные и политические проблемы в Эфиопии и продвигавшим права человека и подотчётность правительства.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
wakati habari kutoka kiev zikigonga vichwa vya habari duniani kote, uchambuzi wa matumizi ya mtandao wa twita yanaonyesha kwamba matukio yanayoendelea leo nchini ukraine yamekamata hisia za wazungumzaji wa kirusi kuliko sehemu nyingine yoyote duniani.
В то время как новости из Киева одинаково в заголовки газет по всему миру, сравнительная аналитика Твиттера показывает, что на русскоязычных пользователей последние события повлияли больше, чем на остальных.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: