Results for barua translation from Swahili to Serbian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Serbian

Info

Swahili

ni vizuri zaidi barua ifike kwa mkono!

Serbian

razmislite o tome da pismo predate lično!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

niliwaandikia katika barua yangu msishirikiane na wazinzi.

Serbian

pisah vam u poslanici da se ne mešate s kurvarima;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nami tertio, ninayeandika barua hii nawasalimuni katika bwana.

Serbian

pozdravljam vas i ja tertije, koji napisah ovu poslanicu u gospodu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tuma barua: mwandikie balozi wa ethipia nchini kwako.

Serbian

pošaljite pismo: napišite pismo ambasadoru vaše zemlje u etiopiji.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nawahimizeni kwa jina la bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.

Serbian

zaklinjem vas gospodom da proèitate ovu poslanicu pred svom braæom svetom.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sipendi mfikiri kwamba nataka kuwatisha ninyi kwa barua zangu.

Serbian

ali da se ne pokažem kao da vas plašim poslanicama;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walipofika kaisarea walimpa mkuu wa mkoa ile barua na kumweka paulo chini ya mamlaka yake.

Serbian

a oni došavši u Æesariju, predaše poslanicu sudiji i izvedoše pavla preda nj.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tafadhali jisikie huru kuuliza maswali kwa kuacha maomni au kutuma barua pepe kupitia fomu yetu ya mawasiliano.

Serbian

kako će novac biti raspoređen?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

felisi alipoisoma hiyo barua aliwauliza paulo ametoka mkoa gani. alipofahamishwa kwamba alikuwa ametoka mkoa wa kilikia,

Serbian

a sudija proèitavši poslanicu zapita odakle je; i doznavši da je iz kilikije

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kuwaaga, hao wajumbe walielekea antiokia ambako waliita mkutano wa waumini, wakawapa hiyo barua.

Serbian

a kad ih opremiše, dodjoše u antiohiju, i sabravši narod predaše poslanicu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, ndugu, nawasihi mpokee kwa utulivu ujumbe huu wa kuwatieni moyo. hii ni barua fupi tu ambayo nimewaandikieni.

Serbian

molim vas pak, braæo, primite reè pouèenja; jer ukratko napisah i poslah vam.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

niliandika barua fupi kwa hilo kanisa; lakini diotrefe, ambaye hupenda kuwa kiongozi wao, hataki kabisa kunisikiliza.

Serbian

ja pisah crkvi; ali diotref, koji želi da bude najstariji medju nama, ne prima nas.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini nimewaandikia hapa na pale katika barua hii bila woga, nipate kuwakumbusheni juu ya mambo fulani. nimefanya hivyo kwa sababu ya neema aliyonijalia mungu

Serbian

ali vam opet, braæo, slobodno pisah nekoliko da vam napomenem radi blagodati koja mi je dana od boga,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkisha soma barua hii, hakikisheni kwamba inasomwa na wakristo wa laodikea; na ninyi fanyeni mpango mpate kuisoma barua waliyoipata kwao.

Serbian

i kad se ova poslanica proèita kod vas, uèinite da se proèita i u laodikijskoj crkvi, i onu što je pisana u laodikiju da i vi proèitate.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana, hata kama kwa barua ile yangu nimewahuzunisha, sioni sababu ya kujuta. naam, naona kwamba barua hiyo iliwatia huzuni lakini kwa muda.

Serbian

jer ako sam vas i ražalio poslanicom, ne kajem se, ako se i bejah raskajao: jer vidim da ona poslanica, ako i za malo, ražali vas.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wao wakamwambia, "sisi hatujapokea barua yoyote kutoka yudea, wala hakuna ndugu yeyote aliyefika hapa na kutoa habari rasmi au kusema chochote kibaya juu yako.

Serbian

a oni mu rekoše: mi niti primismo pisma za te iz judeje; niti dodje ko od braæe da javi ili da govori šta zlo za tebe.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alituma barua-pepe mapema leo akieleza kwamba alipigiwa simu na maafisa wa usalama wa taifa wa bahraini muda mfupi kabla hajakamatwa, na baada ya hapo walimkamata wakisingizia kwamba alikuwa akijaribu kutoroka.

Serbian

on je ranije danas poslao email u kojem navodi da je primio poziv od bahreinske službe nacionalne bezbednosti neposredno pred hapšenje, a potom je uhapšen, a vlasti tvrde da je navodno pokušao da pobegne.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini kama nikicheleweshwa, basi, barua hii itakufahamisha mwenendo tunaopaswa kuwa nao katika nyumba ya mungu, ambayo ni kanisa la mungu aliye hai, na ambalo ni nguzo na msingi wa ukweli.

Serbian

ako li se zabavim, da znaš kako treba živeti u domu božijem, koji je crkva boga Živoga, stup i tvrdja istine.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jarida la kila siku la israeli haaretz liliripoti mnamo mei 20 kuwa kupambana na unyanyapaa wa watu weusi, kituo cha kuwasaidia wafanyakazi wa kigeni kimewasaidia waafrika kuandaa "barua ya wazi kwa watu wa israeli".

Serbian

izraelski dnevnik haaretz je 20. maja objavio da kako bi se suprotstavilo žigosanju crnaca, centar za podršku stranim radnicima pomaže afrikancima u pripremi "otvorenih pisama izraelskiom narodu".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

ili kutia saini, andika jina lako la kwanza, la ukoo, barua-pepe yako, jina la asasi yako (ikiwa unatia saini kwa niaba ya asasi ya kiraia), weka kiungo cha url cha asasi hiyo, na chagua nchi yako.

Serbian

da biste se prijavili, unesite svoje ime, prezime, email adresu, ime organizacije (ako se potpisujete u ime organizacije civilnog društva), url organizacije i izaberite svoju zemlju.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,953,421,906 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK