Results for kumpeleka translation from Swahili to Serbian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Serbian

Info

Swahili

kwa maana nadhani itakuwa kichekesho kumpeleka mfungwa bila kutaja wazi mashtaka yanayomkabili."

Serbian

jer mi se èini ludo sužnja poslati, a krivice njegove ne javiti.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

badala yake, kweli imekuwa mtindo ndugu kumpeleka ndugu yake mahakamani, tena mbele ya mahakimu wasioamini.

Serbian

nego se brat s bratom sudi, i to pred nevernima!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini mimi sikuona kuwa alikuwa ametenda chochote kibaya hata astahili kupewa adhabu ya kifo. lakini, kwa vile paulo mwenyewe alikata rufani kwa kaisari, niliamua kumpeleka.

Serbian

a ja doznavši da on ništa nije uèinio što zaslužuje smrt, a i on sam reèe da æe da ide k svetlom æesaru, namislih da ga pošaljem,

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakawa wanatafuta wakati wa kufaa. wakawahonga watu fulani wajisingizie kuwa wema, wakawatuma wamnase yesu kwa maswali, na hivyo waweze kumtia nguvuni na kumpeleka kwa wakuu wa serikali.

Serbian

i pažahu na njega, i poslaše vrebaèe, koji se gradjahu kao da su pobožni: ne bi li ga uhvatili u reèi da ga predadu poglavarima i vlasti sudijinoj.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu ya huo umati wa watu, hawakuweza kumpeleka karibu na yesu. basi, wakatoboa sehemu ya dari iliyokuwa juu ya mahali alipokuwa yesu. walipokwisha pata nafasi, wakamteremsha huyo mtu akiwa amelala juu ya mkeka.

Serbian

i ne moguæi približiti se k njemu od naroda otkriše kuæu gde on beše, i prokopavši spustiše odar na kome oduzeti ležaše.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu akimwona ndugu yake ametenda dhambi isiyompeleka kwenye kifo anapaswa kumwombea kwa mungu, naye mungu atampatia uzima. nasema jambo hili kuhusu wale waliotenda dhambi ambazo si za kifo. lakini ipo dhambi yenye kumpeleka mtu kwenye kifo nami sisemi kwamba mnapaswa kumwomba mungu kwa ajili ya hiyo.

Serbian

ako ko vidi brata svog gde greši greh ne k smrti, neka moli, i daæe mu život, onima koji greše ne k smrti. ima greh k smrti: za taj ne govorim da moli.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,951,608,756 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK