Results for mahitaji translation from Swahili to Serbian

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Serbian

Info

Swahili

wasaidieni watu wa mungu katika mahitaji yao; wapokeeni wageni kwa ukarimu.

Serbian

delite potrebe sa svetima; primajte rado putnike.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walikuwa wakiuza mali na vitu vyao kisha wakagawana fedha kadiri ya mahitaji ya kila mmoja.

Serbian

i teèevinu i imanje prodavahu i razdavahu svima kao što ko trebaše.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mnajua ninyi wenyewe kwamba nimefanya kazi kwa mikono yangu mwenyewe, ili kujipatia mahitaji yangu na ya wenzangu.

Serbian

sami znate da potrebi mojoj i onih koji su sa mnom bili poslužiše ove ruke moje.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa namna hiyo mtajipatia sifa nzuri kutoka kwa wale wasio wakristo, na hamtakuwa na lazima ya kuwategemea wengine kwa mahitaji yenu.

Serbian

da se vladate pošteno prema onima što su napolju, i da od njih ništa ne potrebujete.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama kiasi hiki cha asilimia 10 au 20 cha fedha kitawekwa kwenye akaunti kwa jina la mke, vipi kuhusu mahitaji muhimu ya mke?

Serbian

ako se 10 ili 20% plate odvoji na ženino ime, šta je sa novcem za održavanje za ženu, ako ona napusti supruga i podnese zahtev za održavanje od muža?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilipofanya kazi kati yenu, mahitaji yangu yaligharimiwa na makanisa mengine. kwa namna moja au nyingine niliwapokonya wao mali yao nipate kuwatumikia ninyi.

Serbian

od drugih crkava oteh uzevši platu za služenje vama; i došavši k vama, i bivši u sirotinji, i ne dosadih nikome.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waume wanaowajibika moja kwa moja kwa wake zao, kwa kadiri ya ninavyoamini, wangeshirikiana na wake zao gharama za mahitaji muhimu ya familia bila shaka….

Serbian

neka vlada napravi metod u kome će proceniti domaćinstva ekonomski i dati domaćicama / ženama zaduženim za domaćinstvo i decu džeparac.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, mitume kumi na wawili waliita jumuiya yote ya wanafunzi, wakasema, "si vizuri sisi tuache kulihubiri neno la mungu ili tushughulikie ugawaji wa mahitaji.

Serbian

onda dvanaestorica dozvavši mnoštvo uèenika, rekoše: nije prilièno nama da ostavimo reè božju pa da služimo oko trpeza.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, yesu ndiye kuhani mkuu ambaye anatufaa sana katika mahitaji yetu. yeye ni mtakatifu, hana hatia wala dhambi ndani yake; hayumo katika kundi la wenye dhambi na ameinuliwa mpaka juu mbinguni.

Serbian

jer takav nama trebaše poglavar sveštenièki: svet, bezazlen, èist, odvojen od grešnika, i koji je bio više nebesa;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

blogu ya christiane badgley inaangazia baadhi ya mapungufu ya mradi huo. (mwanablogu huyo) anawasiwasi kwamba umeme utakaozalishwa unakusudiwa zaidi kutosheleza mahitaji ya umeme wa viwanda vya nchi hiyo:

Serbian

christiane badgley blog ističe neke od nedostataka projekta.ona je smatra da će se proizvodnja električne energije prioritizovati u korist potreba industrije kameruna :

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sheria mpya inawataka vijana kujali “mahitaji ya kiroho” na “kutowapuuza wazee” lakini sheria hii haijaweka bayana ni mara ngapi vijana wanapaswa kuwatembelea wazazi wao au ni adhabu gani watakabiliana nayo endapo watashindwa kuitii sheria hii.

Serbian

novi zakon kaže da odrasli treba da brinu o "duhovnim potrebama" svojih roditelja i da "nikada ne zanemaruju starije osobe".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,927,602,256 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK