Results for rafiki translation from Swahili to Serbian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Serbian

Info

Swahili

rafiki

Serbian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Serbian

Info

Swahili

ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.

Serbian

vi ste prijatelji moji ako tvorite šta vam ja zapovedam.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mimi mzee nakuandikia wewe gayo, rafiki yangu, ninayekupenda kweli.

Serbian

od starešine gaju ljubaznom, kog ja ljubim va istinu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

salamu zangu kwa ampliato, rafiki yangu katika kuungana na bwana.

Serbian

pozdravite amplija, meni ljubaznog u gospodu.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akamjibu, "rafiki, ni nani aliyeniweka mimi mwamuzi au msuluhishi kati yenu?"

Serbian

a on mu reèe: Èoveèe! ko je mene postavio sudijom ili kmetom nad vama?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

hakuna upendo mkuu zaidi kuliko upendo wa mtu atoaye uhai wake kwa ajili ya rafiki zake.

Serbian

od ove ljubavi niko veæe nema, da ko dušu svoju položi za prijatelje svoje.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wazazi wenu, ndugu, jamaa na rafiki zenu watawasaliti ninyi; na baadhi yenu mtauawa.

Serbian

a predavaæe vas i roditelji i braæa i rodjaci i prijatelji; i pobiæe neke od vas.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

watu wote walio pamoja nami wanakusalimu. wasalimu rafiki zetu katika imani. nawatakieni nyote neema ya mungu.

Serbian

pozdravljaju te svi koji su sa mnom. pozdravi sve koji nas ljube u veri. blagodat sa svima vama. amin.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiipata, atawaita rafiki na jirani zake akisema, furahini pamoja nami, kwa sababu nimeipata ile sarafu yangu iliyopotea.

Serbian

i našavši sazove drugarice i susede govoreæi: radujte se sa mnom: ja nadjoh dinar izgubljeni.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wewe, rafiki, unayewahukumu wale wanaofanya mambo kama hayo bali wewe pia unayafanya, je unadhani utaiepa hukumu ya mungu?

Serbian

nego pomišljaš li, o èoveèe koji sudiš onima koji to èine, i sam èiniš to! da æeš ti pobeæi od suda božijeg?

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu alipomaliza kusema maneno hayo, akawaambia, "rafiki yetu lazaro amelala, lakini mimi nitakwenda kumwamsha."

Serbian

ovo kaza, i potom im reèe: lazar, naš prijatelj, zaspa; nego idem da ga probudim.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yesu akamwambia, "rafiki, fanya ulichokuja kufanya." hapo wale watu wakaja, wakamkamata yesu, wakamtia nguvuni.

Serbian

a isus reèe mu: prijatelju! Šta æeš ti ovde? tada pristupivši digoše ruke na isusa i uhvatiše ga.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

bibiarusi ni wake bwanaarusi, lakini rafiki yake bwana arusi, anayesimama na kusikiliza, hufurahi sana anapomsikia bwana arusi akisema. ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.

Serbian

ko ima nevestu ženik je, a prijatelj ženikov stoji i sluša ga, i radošæu raduje se glasu ženikovom. ova dakle radost moja ispuni se.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kainat - rafiki yake malala waliyekuwa pamoja wakati shambulio lilipotokea — alisema — kwamba bado ana woga mwingi mno na hulia sana kila mara anapolikumbuka.

Serbian

kainat - malalin prijatelj koji je bio s njom tokom napada kaže da se ona još uvek boji i plače svaki put kada se seti tog strašnog događaja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

halafu akamwambia na yule aliyemwalika, "kama ukiwaandalia watu karamu mchana au jioni, usiwaalike rafiki zako au jamaa zako au jirani zako walio matajiri, wasije nao wakakualika nawe ukawa umelipwa kile ulichowatendea.

Serbian

a i onome što ih je pozvao reèe: kad daješ obed ili veèeru, ne zovi prijatelje svoje, ni braæu svoju, ni rodjake svoje, ni susede bogate, da ne bi i oni tebe kad pozvali i vratili ti;

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

natumaini kukuona karibuni na hapo tutazungumza ana kwa ana. (g1-15) nakutakia amani. rafiki zako wanakusalimu. wasalimu rafiki zetu wote kila mmoja binafsi.

Serbian

nego se nadam da æu te skoro videti; i iz usta govoriti.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

zungumza na rafiki zako, familia, na jamaa zako kuhusu kampeni hii — tuma makala na viungo vya habari, shirikiana nasi kwa kuandika barua kwa watunga sera au basi andaa, kama unaweza, mkutano wa kujadili masuala ya uhuru wa habari katika mji wako

Serbian

razgovarajte sa prijateljima, porodicom i kolegama o kampanji — podelite članke i linkove, radite zajedno na pismima koja ćete poslati političarima, ili planirajte okupljanje.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,565,045 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK