Results for akina translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

sisi ni akina mama.

Spanish

somos madres.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akina nani ni washiriki?

Spanish

¿quiénes son los participantes?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"maendeleo kwa akina nani?"

Spanish

"¿desarrollo para quién?"

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kuwaokoa akina mama na watoto nchini laos

Spanish

salvando madres y bebés en laos

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akina mama na akina baba wanawalilia watoto wao.

Spanish

madres y padres lloran por sus hijos perdidos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wali unaonata haufai kwa watoto, akina mama waambiwa

Spanish

el arroz pegajoso es malo para los bebes, dicen madres laosianas

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

eh akina kaka mnaovuka uwanja wa mapambano huku mkiwa mmeinamisha vichwa

Spanish

a nosotros los periodistas no nos alientan a escribir acerca de nuestros sentimientos, sino a informar acerca de lo que los protagonistas de los acontecimientos hacen y dicen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

enyi akina mama, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo bwana.

Spanish

esposas, estad sujetas a vuestros esposos, como conviene en el señor

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ndugu zangu na akina baba, nisikilizeni sasa nikijitetea mbele yenu!"

Spanish

--hermanos y padres, oíd ahora mi defensa ante vosotros

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

sasa kwanini shirika la sony lisiwashitaki hao na maelfu ya akina mama wanaowaita watoto wao sony.

Spanish

colson describe el tema como una batalla entre david y goliat:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

upinde wa rangi za akina mama wa vijijini waliokusanyika kama wahamasishaji wa kujitolea kwenye vijiji vyao.

Spanish

un arcoiris de colores de mujeres de la india reunidas como voluntarias para movilización social y desarrollo de sus aldeas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilitaka kufahamu zaidi hawa walikuwa akina nani, walioteswa na serikali ya kifisadi na vikwazo vya kimataifa.

Spanish

quería averiguar más acerca de ellos, quienes eran realmente, atormentados por un gobierno corrupto y sanciones internacionales.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna kitu kipya chini ya jua hizi ni habari nyingine zilizotengenezwa kuendesha akili zetu wakati huu wa kukomaa kwa wapigania haki za akina mama

Spanish

nada nuevo bajo el sol otra noticia para manipular nuestras mentes en el siglo dorado del feminazismo

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@laotianmama anawakumbusha akina mama wa lao kutokuwalisha watoto wenye njaa wali unaonata ambao ni chakula cha asili kwao.

Spanish

@laotianmama recuerda a a las madres de laos no dar arroz pegajoso, un plato laosiano tradicional, a bebés hambrientos:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama ilivyo kwa tukio hili, mamia ya akina dada zetu na mama zetu wazawa wamebaki kuwa wahanga wa kubakwa na mauaji kwa muda mrefu.

Spanish

de esta manera, cientos de nuestras hermanas y madres indígenas se han convertido durante mucho tiempo en víctimas de violaciones y asesinatos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kipindi hicho kinawakutanisha akina baba watano maarufu pamoja na watoto wao kwa ajili ya kufanya kazi mbalimbali za nje kwa lengo la kushindana na bila ya uwepo wa wake zao.

Spanish

el show encomienda a cinco padres famosos y a sus hijos pequeños, cumplir diversas actividades al aire libre a modo de competencias sin la presencia de las madres.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivi sasa, huko irani, akina mama wanaharakati wa haki za binadamu, wanazidi kuwa alama za ulimwengu katika kupigiania haki za binadamu ulimwenguni kote.

Spanish

ahora, en irán, las madres activistas humanitarias se vienen convirtiendo rapidamente en íconos mundiales de las causas por los derechos humanos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara tu baada ya ibada kuhitimishwa, akina maana hawa waliamua kuwazidi werevu polisi na kuandamana kwa mara ya pili ndani ya siku moja, mara hii wakitokea mtaa wa infanta kuelekea mtaa wa neptune.

Spanish

cuando concluyó la misa, estas mujeres decidieron sorprender a sus represores y marcharon por segunda vez en un día, en esta ocasión desde infanta hasta la sede del grupo en neptuno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuongeza nguvu katika programu za kuzuia uambukizaji wa kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, dawa zinazozuia akina mama wajawazito wenye vvu kuwapatia watoto wao ambao hawajazaliwa maambukizo na kueleza kwamba chango madhubuti ya vvu ilikuwa ikihitajika mno.

Spanish

también dijo que el gobierno estaba comprometido a aumentar los programas de prevención de madres a hijos, terapias que prevengan que madres embarazadas con vih-positivo contagien la enfermedad, y que una vacuna efectiva contra el vih se necesitaba desesperadamente.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapa ndipo palipo na habari nzima. kama nilivyoonyesha hapo kabla, jambo kama hili limewahi kutokea katika jeshi la ulinzi la marekani. ninazidi kuchoshwa na habari za fox news zinazoniambia kuwa adui zangu ni akina nani.

Spanish

la historia está aquí. como he señalado previamente, algo así nunca antes ha sucedido en las fuerzas armadas de los e.u.a. me estoy cansando de que fox news me diga quienes son mis enemigos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,947,475,618 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK