Results for aliyeweza translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

aliyeweza

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

mtu huyo alikuwa akiishi makaburini wala hakuna mtu aliyeweza tena kumfunga kwa minyororo.

Spanish

Éste tenía su morada entre los sepulcros. y nadie podía atarle ni siquiera con cadenas

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hakuna mtu yeyote aliyeweza kumjibu neno. na tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu tena kumwuliza swali.

Spanish

nadie le podía responder palabra, ni nadie se atrevió desde aquel día a preguntarle más

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hakuna mtu aliyeweza kuufuga ulimi. ulimi ni kitu kiovu, hakitawaliki, na kimejaa sumu inayoua.

Spanish

pero ningún hombre puede domar su lengua; porque es un mal incontrolable, llena de veneno mortal

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini hakupatikana mtu yeyote mbinguni, wala duniani, wala chini kuzimu, aliyeweza kukifungua hicho kitabu au kukitazama ndani.

Spanish

pero ninguno, ni en el cielo ni en la tierra ni debajo de la tierra, podía abrir el libro; ni siquiera mirarlo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hekalu likajaa moshi uliosababishwa na utukufu na nguvu ya mungu, na hakuna mtu aliyeweza kuingia hekaluni mpaka mwisho wa mabaa makubwa saba ya wale malaika saba.

Spanish

el templo se llenó de humo por la gloria de dios y por su poder, y nadie podía entrar en el templo hasta que fuesen consumadas las siete plagas de los siete ángeles

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

walikuwa wanaimba wimbo mpya mbele ya kiti cha enzi na mbele ya wale viumbe hai wanne na wale wazee. hakuna mtu aliyeweza kujifunza wimbo huo isipokuwa hao watu mia moja arobaini na nne elfu waliokombolewa duniani.

Spanish

ellos cantan un himno nuevo delante del trono y en presencia de los cuatro seres vivientes y de los ancianos. nadie podía aprender el himno, sino sólo los 144.000, quienes habían sido redimidos de la tierra

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mchezo huo uliodumu bila magoli mpaka dakika ya mwisho ambapo diego maradona alimpasia mpira claudio caniggia, aliyeweza kuupachika wavuni na kumzidi maarifa mlinda mlango wa brazili taffarel. ajentina ilifungwa na ujerumani magharibi katika fainali: brazili, niambie unavyojisikia kumpokea baba yenu / ninaapa kwamba hata kama muda utapita sitasahau / kwamba diego aliwapita walinzi wako na cani akautia mpira kimiani / mmekuwa mkilia tangu enzi za italia / mtamwona messi akituletea kombe / maradona ni mkali kuliko pelé.

Spanish

brasil decime qué se siente tener en casa a tu papá// te juro que aunque pasen los años nunca lo vamos a olvidar// que el diego los gambeteó, el cani los vacunó// están llorando desde italia hasta hoy// a messi lo van a ver la copa nos va a traer// maradona es más grande que pelé.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,794,841,091 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK