Results for kaisari translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

basi, twambie kama ni halali, au la, kulipa kodi kwa kaisari!"

Spanish

¿nos es lícito dar tributo al césar, o no

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

msione haya na niangalieni kwa sababu mmesulubiwa pembeni mwangu na kitambaa cha kaisari

Spanish

este fue un recordatorio de que la actitud desafiante no es sólo un medio de supervivencia, sino la verdadera razón que nos define como humanos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

haya, twambie maoni yako. je, ni halali au la, kulipa kaisari?"

Spanish

dinos, pues, ¿qué te parece? ¿es lícito dar tributo al césar, o no

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

siku zile, tangazo rasmi lilitolewa na kaisari augusto kuwataka watu wote chini ya utawala wake wajiandikishe.

Spanish

aconteció en aquellos días que salió un edicto de parte de césar augusto, para levantar un censo de todo el mundo habitado

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

naye agripa akamwambia festo, "mtu huyu angeweza kufunguliwa kama asingalikuwa amekata rufani kwa kaisari."

Spanish

y agripa dijo a festo: --este hombre podría ser puesto en libertad, si no hubiera apelado al césar

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

yasoni amewakaribisha nyumbani kwake. wote wanafanya kinyume cha amri ya kaisari wakisema eti kuna mfalme mwingine aitwaye yesu."

Spanish

y jasón les ha recibido. todos éstos actúan en contra de los decretos del césar, diciendo que hay otro rey, jesús.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini wayahudi wengine walipinga jambo hilo, nami nikalazimika kukata rufani kwa kaisari, ingawa sikuwa na chochote cha kuwashtaki wananchi wenzangu.

Spanish

pero como los judíos se oponían, yo me vi forzado a apelar al césar, no porque tenga de qué acusar a mi nación

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, yesu akawaambia, "mpeni kaisari yaliyo yake kaisari na mungu yaliyo yake mungu." wakashangazwa sana naye.

Spanish

entonces jesús les dijo: --dad al césar lo que es del césar, y a dios lo que es de dios. y se maravillaban de él

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini mimi sikuona kuwa alikuwa ametenda chochote kibaya hata astahili kupewa adhabu ya kifo. lakini, kwa vile paulo mwenyewe alikata rufani kwa kaisari, niliamua kumpeleka.

Spanish

pero yo hallé que él no había hecho ninguna cosa digna de muerte, y habiendo apelado él mismo a augusto, he determinado enviarle

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini paulo alikata rufani, akaomba aachwe kizuizini mpaka uamuzi wa shauri hilo ufanywe na kaisari. kwa hiyo niliamua akae kizuizini mpaka nitakapoweza kumpeleka kwa kaisari."

Spanish

pero como pablo apeló a quedar bajo custodia para la decisión de augusto, mandé que le guardasen hasta que yo le enviara al césar

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, baada ya festo kuzungumza na washauri wake, akamwambia paulo, "umekata rufani kwa kaisari, basi, utakwenda kwa kaisari."

Spanish

entonces festo, habiendo consultado con el consejo, respondió: --al césar has apelado. ¡al césar irás

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

akaniambia: paulo usiogope! ni lazima utasimama mbele ya kaisari; naye mungu, kwa wema wake, amekufadhili kwa kuwaokoa wote wanaosafiri nawe wasiangamie.

Spanish

y me dijo: "no temas, pablo. es necesario que comparezcas ante el césar, y he aquí dios te ha concedido todos los que navegan contigo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

basi, ikiwa nimepatikana na kosa linalostahili adhabu ya kifo, siombi kusamehewa adhabu hiyo. lakini kama hakuna ukweli katika mashtaka waliyotoa watu hawa, hakuna awezaye kunikabidhi kwao. nakata rufani kwa kaisari!"

Spanish

si estoy haciendo alguna injusticia o si he hecho alguna cosa digna de muerte, no rehúso morir; pero si no hay nada de cierto en las cosas de las que éstos me acusan, nadie puede entregarme a ellos. yo apelo al césar

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nao wakamjibu, "ni vya kaisari." yesu akawaambia, "basi, mpeni kaisari vilivyo vyake kaisari, na mungu vilivyo vyake mungu."

Spanish

entonces les dijo: --pues dad al césar lo que es del césar y a dios lo que es de dios

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
8,667,381,835 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK