Results for kisima translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

kisima

Spanish

sondeo geotécnico

Last Update: 2014-02-19
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

akasema msemaji kati yao: msimuuwe yusuf. lakini mtumbukizeni ndani ya kisima.

Spanish

pero uno de ellos dijo: «¡no matéis a josé ¡echadlo, más bien, al fondo del aljibe, si es que os lo habéis propuesto...!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

mahali hapo palikuwa na kisima cha yakobo, naye yesu, kutokana na uchovu wa safari, akaketi kando ya kisima. ilikuwa yapata saa sita mchana.

Spanish

estaba allí el pozo de jacob. entonces jesús, cansado del camino, estaba sentado junto al pozo. era como la hora sexta

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi walipo mchukua na wakakubaliana wamtumbukize ndani ya kisima, tulimfunulia yusuf: hapana shaka yoyote utakuja waambia kwa jambo lao hili, na wala wao hawatambui.

Spanish

cuando se lo llevaron y se pusieron de acuerdo para echarlo al fondo del aljibe... y le inspiramos: «¡ya les recordarás más tarde, sin que te reconozcan, lo que ahora han hecho!»

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

huyo mama akasema, "mheshimiwa, wewe huna chombo cha kutekea maji, nacho kisima ni kirefu; utapata wapi maji yaliyo hai?

Spanish

la mujer le dijo: --señor, no tienes con qué sacar, y el pozo es hondo. ¿de dónde, pues, tienes el agua viva

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

au, labda wewe wajifanya mkuu kuliko babu yetu yakobo? yeye alitupa sisi kisima hiki; na yeye mwenyewe, watoto wake na mifugo yake walikunywa maji ya kisima hiki."

Spanish

¿acaso eres tú mayor que nuestro padre jacob quien nos dio este pozo y quien bebió de él, y también sus hijos y su ganado

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

watoto wa kenya wanafundishwa uvumilivu wa kikabila kupitia hadithi za sayansi: "kushambuliwa kwa akina shida:bunduki za aka zaokoa sayari” ni hadithi inayozungumzia maisha ya jamii tatu zilizoishi katika jangwa katika mji fulani ambazo zilitegemea kisima kupata maji.

Spanish

a los niños kenianos se les enseña tolerancia ética a través de la ciencia ficción : "ataque de los shidas: aka salvan al planeta” es la historia de tres comunidades que viven en un pueblo del desierto que depende de un único pozo para toda su agua.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia
Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,776,847,211 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK