Results for kufurahisha translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

kufurahisha

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

mirindimo ya muziki wa caribbean wenye kufurahisha pamoja na nyimbo za kitamaduni za krismasi popote nilipokwenda.

Spanish

alegre música caribeña mezclada con tradicionales canciones navideñas me acompañaban por donde iba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kuadhibiwa si jambo la kufurahisha bali la kuhuzunisha. lakini wale waliofunzwa kuwa na nidhamu mwishowe watavuna tuzo la amani kutoka katika maisha adili!

Spanish

al momento, ninguna disciplina parece ser causa de gozo, sino de tristeza; pero después da fruto apacible de justicia a los que por medio de ella han sido ejercitados

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa timotheo amekwisha rudi, naye ametupa habari za kufurahisha kuhusu imani na upendo wenu. ametuarifu kwamba mnatukumbuka daima, na kwamba mna hamu ya kutuona sisi kama nasi tulivyo na hamu ya kuwaoneni.

Spanish

pero ahora timoteo ha vuelto de vosotros a nosotros y nos ha dado buenas noticias de vuestra fe y de vuestro amor, y de que siempre tenéis buenos recuerdos de nosotros, deseando vernos, tal como nosotros también a vosotros

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, midahalo hii iliibua twits za kufurahisha kutoka kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii wa crotia kupitia viungo habari #izboriprh (#electionscroatia), #izbori2014 (#elections2014), #debatartl (#debatertl), na #hrtizbori (#hrtelections).

Spanish

los debates generaron, sin embargo algunos tuits humorísticos de los usuarios croatas en las redes sociales bajo las etiquetas #izboriprh (#eleccionescroacia), #izbori2014 (#elecciones2014), #debatartl (#debatertl), y #hrtizbori (#hrtelecciones).

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,796,910,529 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK