Results for kulipiza translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

ni matokeo ya kulipiza kisasi.

Spanish

es el resultado de la venganza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tunajua kuwa. kulipiza kisasi hakujengi nchi wala demokrasia.

Spanish

sabemos que la venganza no construye un país, no construye democracia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenyezi mungu si mwenye nguvu anaye weza kulipiza?

Spanish

¿acaso no es alá poderoso, vengador?

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo, inadhaniwa kuwa alibakwa na kisha kuuliwa kama namna ya kulipiza kisasi.

Spanish

por todo esto se sospecha que esta violación y asesinato sean fruto de la venganza.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huko alimwona mmoja wao akitendewa vibaya, akaenda kumwokoa, na kulipiza kisasi, akamuua yule mmisri.

Spanish

al ver que uno era maltratado le defendió, y matando al egipcio, vengó al oprimido

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alichukua uamuzi wa kulipiza kisasi kufuatia hasara ya fedha kwa kumfuatilia hakimu kwa mwaka na hatimaye kufichua kashfa yake ya ngono.

Spanish

se vengó de su pérdida financiera siguiendo al juez durante un año y aprovechó el escándalo sexual.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi usimdhanie mwenyezi mungu kuwa ni mwenye kuwavunjia ahadi yake mitume wake. hakika mwenyezi mungu ni mwenye kushinda, na ni mwenye kulipiza.

Spanish

no creas que alá vaya a faltar a la promesa hecha a sus enviados - ¡alá es poderoso, vengador!-,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hatua hii inaonekana kuja kama kulipiza kisasi kwa shambulio lililofanywa na kikundi cha wanaharakati wa mtandaoni wanaojulikana kama anonymous, ambalo lililenga njia na mitandao ya muhimu ya serikali ya tunisia.

Spanish

la acción parece ser una represalia a un ataque de anónimo, que tiene como objetivo sitios vitales y entradas del gobierno tunecino.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya mapumziko yasiyo ya kawaida, sasa kero ya kukatika-katika umeme imerudi tena jijini bulawayo utafikiri ni kulipiza… nina hakika watu wanatamani ule mkutano wa zanu pf ungeendelea.

Spanish

después de un inusitado descanso, los cortes eléctricos están de vuelta y en bulawayo vienen con fuerza, apuesto a que hay gente que desearía que la conferencia del zanu pf todavía se estuviera celebrando.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kikundi cha kigaidi cha tehreek-i-taliban pakistan (ttp) kimedai kuhusika na tukio hilo , kikisema kuwailikuwa ni kulipiza kisasi kufuatia shambulio la anga lililofanywa na jeshi la pakistani kwenye mpaka wa nchi hiyo na afghanistani.

Spanish

luego de horas de cavar, siete nuevos cuerpos fueron recuperados de una cámara frigorífica de almacenamiento colapsada en el aeropuerto internacional jinnah de karachi, 32 horas después de que los terroristas lanzaran su asedio de 6 horas en el aeropuerto más activo de pakistán, asciende a 35 el número de personas que perdieron la vida durante el osado atentado.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,955,128 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK