Results for kutunza translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

jamani tufurahie kuwa waafrika kwa kutunza utamaduni wetu.

Spanish

estén orgullosos de ser africanos con sus prácticas culturales.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

5.sehemu ya 5 - mauaji kwa ajili ya kutunza heshima

Spanish

5. episodio 5 - crimen de honor

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

m-pesa imewapa wakenya mbadala wa kutunza fedha zao kwa usalama:

Spanish

m-pesa ha ofrecido a los kenianos una forma alternativa de guardar dinero de manera segura:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

brita alitembelea kituo hiki na kugundua wajibu wake wa kutunza uhai wa tembo:

Spanish

brita visitó el centro y reconoce su vital importancia para proteger el bienestar de los elefantes:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(mzazi huyo huyo aliyezungumziwa hapo juu anajiuliza kuhusu namna ya kutunza nywele za mtu mweusi.

Spanish

(el mismo padre al que se hace referencia arriba se pregunta sobre cuidado de pelo de los negros.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

changamoto katika huduma muhimu za kujifungua na kutunza watoto wachanga huduma zilikuwa sawa katika tacloban na leyte.

Spanish

los desafíos a la hora de prestar una asistencia fundamental en los partos y en los servicios de cuidado de neonatos eran particularmente grandes en tacloban y leyte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa kutambua hitaji la kuonyesha mshikamano, mtandao wa tumblr ulitengeneza mfumo wa kutunza kumbukumbu za maandamano haya.

Spanish

reconociendo la necesidad de demostrar solidaridad, se ha creado una cuenta en tumblr para documentar estas protestas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@egypresidency: rais morsy anamsihi kila mtu kutunza amani na kuepuka kumwaga damu ya mwananchi mwenzake.

Spanish

@egypresidency : el presidente morsi exhorta a todos a la calma y a evitar el derramamiento de sangre de compatriotas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo ningependelea wajane vijana waolewe, wapate watoto na kutunza nyumba zao ili adui zetu wasipewe nafasi ya kusema mambo maovu juu yetu.

Spanish

por eso quiero que las más jóvenes se casen, críen hijos, gobiernen su casa y no den al adversario ninguna ocasión de reproche

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tena, kama nilivyotoa hoja hapa na kwingineko, tunashauriwa vyema kutunza marisawa kwa ya vita halisi kama muswada huu utapitishwa na kutiwa saini kuwa sheria.

Spanish

nuevamente, como ya lo había dicho aquí y en todos lados, sabemos que es mejor guardar nuestras mejores armas para la verdadera batalla contra la ley próxima a firmarse.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwaka mmoja uliopita, harakati hizo zilizoanza kule morelos ziliwatia moyo maelfu ya raia wa mexico kushutumu madhara ya vita na kutunza kumbukumbu hai za maisha ya wahanga.

Spanish

dirán lo que quieran, pero yo amo a javier sicilia el usuario @roblesmaloof no se limitó a pronunciarse sobre la familia sicilia, sino que dedicó un tuiteo a otra de las víctimas que es representada por el movimiento por la paz con justicia y dignidad:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

matone machache ya “damu” huchafua shuka, na kutunza “heshima” ya mwanamke, familia yake au jamii yake.

Spanish

unas pocas gotas de “sangre” mancharán las sábanas, preservando el “honor” de la mujer, su familia, o sociedad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

misri inahitaji japo ushindi wa magoli mawili ili kulazimisha mchezo wa kukata shauri katika uwanja wa nchi nyingine ambapo algeria, ambayo imeshindwa kufaulu kwenda kombe la dunia tangu 1986, itapambana ili kutunza nafasi yake ya sasa ya kuongoza katika kundi la wanaogombania nafasi ya kufaulu.

Spanish

egipto necesita como mínimo una ventaja de dos goles para forzar un desempate que se resolvería en terreno neutral, mientras que argelia (que no se ha clasificado para una copa mundial desde 1986) luchará para mantener su posición de líder de grupo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na kwa kumalizia, hakuna sababu ya kuchunguza suala hili, na wala haipaswi kuwepo; hata hivyo, vyombo vya kutunza sheria vilifanya kinyume, kwa sababu kuna namna fulani ya matakwa ya wengi.

Spanish

para concluir, no hay motivos para investigar este asunto, tampoco debería haberlos; sin embargo, las agencias del orden público hicieron lo opuesto, porque hay una especie de demanda popular.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika siku saba zijazo, wafasiri wa kujitolea wa mradi wa lingua wa taasisi ya global voices watakuwa wakitafsiri makala maalumu ambayo ni harakati ya utetezi unaofanywa na umma mtandaoni na ambao unasaidia kulinda haki za watu kwenye mitandao ya intaneti na kuzitaka serikali zilizo wanachama wa muungano wa kimataifa wa mawasiliano ya simu (international telecommunication union — itu) kutunza matumizi huru ya intaneti katika mkutano mkuu ujao wa itu.

Spanish

en los siguientes siete días, los voluntarios de lingua de global voices traducirán una petición pública en internet que apoya la protección de derechos humanos en línea e insta a los gobiernos miembros de la unión internacional de telecomunicaciones (itu, por sus siglas en inglés) a preservar la apertura de internet en la próxima conferencia de la itu .

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,652,163,212 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK