Results for kuunga translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

na tafadhali fikiria kuunga mkono kazi yetu kwamchango wako

Spanish

considere, por favor, apoyar nuestro trabajo mediante una donación.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tausif hamim ni kijana akeshaye katika kuunga mkono maandamano.

Spanish

tausif hamim es un joven que está pernoctando para mostrar solidaridad con las protestas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nilishangaa, ni kwa nini mnaendelea kuunga mkono mfumo wa utawala?

Spanish

me pregunto ¿por qué apoyan este régimen?

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwani yeye ndiye aliye kuunga mkono kwa nusura yake na kwa waumini.

Spanish

Él es quien te ha fortalecido con su auxilio y con los creyentes.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kila siku, kurasa mpya za facebook zinaanzishwa kuunga mkono na kupinga harakati hizi.

Spanish

todos los días, se abren nuevas cuentas en facebook a favor y en contra del movimiento.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapa ni namna nne ambazo wewe au shirika lako linaweza kuunga mkono kampeni hii:

Spanish

he aquí las cuatro formas en que usted o su organización pueden apoyar esta campaña:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kesi nyingi, kama siyo zote mufti mkuu hukubali na kuunga mkono hukumu ya hakimu.

Spanish

• en la mayoría de casos, si no en todos, el gran mufti aprueba y apoya el veredicto del juez.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maoni yanaweza kuwa ya kuunga mkono na ya kupinga mpango wa somalia kuwa na muundo wa shirikisho.

Spanish

hay puntos de vista a favor y en contra de la adopción de una estructura federal en somalia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

washiriki wengi katika maandamano hayo walipaza sauti zao kuunga mkono hatua kuhalalisha kisheria ndoa za jinsia moja.

Spanish

la mayoría de los participantes expresaron su apoyo a la legalización del matrimonio entre personas del mismo sexo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkutano wa nam umetupatia nafasi ya pekee kabisa maalumu ya kuandamana dhidi ya maovu ya utawala na kuunga mkono vuguvugu la kijani.

Spanish

la cumbre del mna ha creado una oportunidad de oro para protestar en contra del régimen y apoyar al movimiento verde.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hayawi hayawi sasa yamekuwa, walimu wa halmashauri za mji na wilaya ya korogwe wamegoma kwenda shule kwa kuunga mkono viongozi wao walioutangaza.

Spanish

docentes del comité del pueblo y provincia de korogwe, han iniciado una huelga en un intento por sumarse a sus líderes que anunciaron la medida.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baadhi ya wanablogu wa ki-rusi wanaonekana kuviangalia vikwazo dhaifu vya marekani kama dalili ya kuunga mkono kimyakimya matendo ya rais putin.

Spanish

algunos blogueros rusos parecen haber visto las débiles sanciones efectuadas por estados unidos como una señal de apoyo tácito a las acciones del presidente putin.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

washirika kutoka duniani kote waliwasilisha picha, ujumbe wa mshikamano, video na michoro kuonyesha kuunga mkono shinikizo hilo la kuachiliwa huru kwa wanablogu hao.

Spanish

aliados de todo el mundo han enviado fotos, mensajes de solidaridad, videos y trabajos de arte para mostrar su apoyo por la liberación de los blogueros.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kikundi hicho kinakutana kuunga mkono tovuti ya más y mejor internet para bolivia (mtandao zaidi na nafuu kwa ajili ya bolivia).

Spanish

el grupo está ganando apoyo en la página web más y mejor internet para bolivia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bhutan imebarikiwa na endelevu, urithi tajiri wa utamaduni na watu wa bhutanese wana fahari katika kuunga mkono idadi ya maadili muhimu ikiwa ni pamoja na maelewano, huruma na uzalendo.

Spanish

bután se ha visto bendecido con una rica y sostenida herencia cultural y el pueblo butanés se enorgullece de conservar una cantidad de valores esenciales , incluida la armonía, compasión y patriotismo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

teknolojia yetu inatoa namna ya kuufikia uwazi kwa pende zote za kamera, na tunatarajia kuunga mkono kwa dhati wale wanaoongoza harakati za kuleta mabadiliko chanya,” anasema.

Spanish

nuestra tecnología ofrece un medio de lograr transparencia en ambos lados de la cámara, y tenemos la intención de apoyar a los que encabezan movimientos para un cambio positivo”, dice.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mfano, zaidi ya watu maarufu wa kiutamaduni wapatao mia tano hivi karibuni walitia saini barua ya wazi kuunga mkono msimamo wa putin kuhusiana na “ukraine na crimea.”

Spanish

por ejmplo, más de quinientas figuras culturales suscribieron recientemente una carta pública de apoyo a la posición de putin sobre “ucrania y crimea”.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

2) licha ya kuwepo madai au ushahidi wa kuunga mkono uwepo wa vyombo huru vya habari, bado serikali inaendelea kuwa na mkono wenye nguvu katika udhibiti wa vyombo vya habari hasa kupitia sheria za utoaji habari na upigaji chapa.

Spanish

2) a pesar de las demandas o evidencia de apoyo a los medios libres, el gobierno continúa teniendo el poder de controlar los medios con información y leyes de imprenta.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"tunataka usawa katika ndoa." nchini sagua la grande wanaharakati nchini cuba wanaendelea "kuleta mapinduzi ya kubusiana" kuunga mkono haki za mashoga.

Spanish

con la idea de poner "la revolución en un beso", se celebró la "segunda besada por la diversidad y la igualdad”, organizada por el proyecto anticapitalista e independiente arcoiris.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kufuatia shauri hilo, watumiaji wa mtandao wa twita nchini saudi walianzisha alama habari: (# أنا _ عضو _ حسم) (mimi ni mwanachama wa acpra), ambapo waliandika majina yao kama hatua ya kutangaza kuunga mkono msimamo na madai ya acpra kuhusiana na mabadiliko ya kisiasa.

Spanish

tras la sesión, los usuarios sauditas de twitter comenzaron una etiqueta: (#أنا_عضو_حسم) (soy miembro de acpra), donde escribieron sus nombres para declarar su pleno apoyo a las posiciones y demandas de reformas políticas de acpra.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,311,207 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK