Results for lakini si kusema ni katika lugha ... translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

lakini si kusema ni katika lugha ya kiswahili

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

wanafunzi nchini tanzania kufundishwa kwa lugha ya kiswahili, si kiingereza

Spanish

en tanzania las clases serán en swahili no en inglés

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mradi wa lingua wa global voices katika lugha ya ki-malagasi

Spanish

proyecto de lingua global voices en malgache.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kauli mbiu ya blogu yakeiliyotafsiriwa kutoka katika lugha ya farsi inasomeka: "ukosoaji.

Spanish

el lema de su blog , traducido desde el farsi, dice: "crítica.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

global voices ilipata tuzo ya jopo la majaji katika blogu bora ya pamoja katika lugha ya kiingereza mwaka wa 2005.

Spanish

global voices, en el 2005, recibió el premio del jurado en la competencia del mejor weblog en inglés.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika video hii, tafsiri ya maandishi katika lugha ya kiingereza, ahmed (adam) anasema:

Spanish

en este video, subtitulado en inglés, ahmed (adam) dice:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkala hii iliandikwa kwa ushirikiano wa zone9 na kutafsiriwa na endalk chala kutoka lugha ya kihabeshi kwenda katika lugha ya kiingereza.

Spanish

este artículo fue escrito colectivamente por zone9 y traducido del amárico al inglés por endalk chala.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ncha ya kaskazini mfululizo wa masomo ya mtandaoni yanapatikana katika lugha ya inuktitut, moja ya lugha ya nchi za ncha ya kazkazini mwa dunia.

Spanish

Ártico clases online asíncronicas se encuentran disponibles en inuktitut, una de las lenguas del Ártico.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kitabu hiki cha kieletroniki kina jumla ya makala 13 katika lugha ya kiingereza (matoleo katika lugha nyingine yanaandaliwa).

Spanish

cubierta del ebook "europa en crisis".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naser almufarrij kutoka kuwait aweka picha hii katika twita and kuwaiti naser almufarrij aweka picha hii kutoka twita iliyo katika lugha ya kiarabu:

Spanish

el kuwaití naser almufarrij comparte esta captura de pantalla en twitter y el kuwaití naser almufarrij comparte esta captura de pantalla de un tuiteo, que dice en árabe:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

rachna im, ambaye ni mwandishi wa habari wa rfi katika lugha ya khmer na ambaye ni mwanablogu chipukizi mwanamke alikubaliana na moses katika ujumbe alioujibu na kwa kuutuma kwa mwandishi wa makala hii:

Spanish

rachna im , una periodista de rfi en idioma khmer y una joven bloguera, está de acuerdo con moses en un mensaje de respuesta en facebook enviado a este autor:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

dinges aliandika kuhusu baadhi ya mazingira ya mkutano huo katika blogu ya kituo cha uandishi wa habari na upelelezi (ciper kwa kifupi katika lugha ya kihispania)

Spanish

dinges escribió acerca de parte del contexto de la reunión en el blog chileno del centro de investigación e información periodística (ciper):

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huku likichapisha idadi ya nakala zipatazo 23,000, gazeti hili huchapisha habari mbalimbali zikiwemo zile za siasa, utamaduni na michezo katika lugha ya ki-urdu.

Spanish

con una circulación de aproximadamente 23000 ejemplares, el impreso cubre noticias de todo tipo en lengua urdu, desde política y cultura hasta deportes.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa jeune afrique, tjarida kubwa la kiafrika litokalo katika lugha ya kifaransa, vikosi maalumu 100 vya angola vinayaongezea nguvu majeshi ya gbagbo wanaolilinda handaki ambalo kiongozi huyo wa zamani anaendelea kujifichia humo.

Spanish

según jeune afrique, la principal revista africana en francés, 100 miembros de las fuerzas especiales angoleñas están respaldando a los militares de gbagbo que están protegiendo el búnker presidencial donde el ex líder sigue escondiéndose.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

habari mpya kutoka kwa waandaaji wa maandamano, waliopewa jina la utani la "makao makuu ya euromaian", wanaweza kufuatiliwa katika ukurasa wao wa facebook katika lugha ya kiingereza:

Spanish

las actualizaciones de los organizadores de las protestas, llamado sede central de euromaidán, se pueden seguir en su cuenta de facebook en inglés:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mohamud uluso anauchukulia rasmu ya katiba kama “kazi inayoharakishwa, toleo la hivi karibuni zaidi likipatikana katika lugha ya kisomali pekee wakati rasimu nyingine za zamani au zile batili zikiwa zinazagaa katika mtandao wa intaneti":

Spanish

mohamud uluso considera el anteproyecto de constitución como "un trabajo a la carrera, con la versión más reciente solo disponible en lengua somalí, mientras varias versiones obsoletas o falsas circulan en la red":

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama sehemu ya mfululizo wetu juu ya teknolojia na ugunduzi unaofanyika afrika, hivi karibuni tulionyesha mashine ya kuchapishia picha zenye umbo halisi yaani 3d iliyotengenezwa kutokana na taka pepe nchini togo na mashine ya kukagua usahihi wa maneno katika lugha ya spell ki-bambara .

Spanish

foto autorizada. como parte de nuestra serie sobre innovaciones hechas en África, recientemente hemos mostrado la impresora 3d fabricada en togo con desechos electrónicos y un corrector ortográfico para la lengua bambara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini watumiaji wa huduma ya twita waliipata habari hiyo na kuipeleleza baada ya indy.gr - tawi mojawapo la indymedia athens - kutoa tafsiri ya makala hiyo katika lugha ya kigiriki. wazo la kuandaa vikwazo bandarini lilipendekezwa na likaenezwa kwa "kutuma tena na tena jumbe za twita":

Spanish

pero fue recogida por los usuarios de twitter e investigada por indy.gr (periodistas independientes, integrantes de la red global de noticias indymedia.org, a través de su rama indymedia atenas), que proveyó de una traducción del artículo en griego.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mimi nilitoka malaysia miaka 32 iliyopita na ingawa mimi sasa naishi maelfu ya maili nina msisimko katika matarajio ya 'ubah' ('mabadiliko' katika lugha ya malay) kuwa ukweli mnamo 0505.

Spanish

yo me fui de malasia hace 32 años, y aunque ahora viva a miles de kilómetros de distancia, me emociona la perspectiva de que "ubah" (cambio en malayo) se haga realidad en las elecciones 05/05.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kada wa chama cha united national party ajith p. perera ameandika salamu za rambirambi kwa prabhakaran katika blogu yake, akitaka kuwa tofauti na wengine: “alikuwa muuaji, bila ya shaka, lakini prabhakaran anastahili salamu za rambirambi, hata kama ni katika lugha ambayo alikuwa haielewi,”

Spanish

ajith p. perera, organizador del partido nacional unido (unp por sus siglas en inglés), escribió en su propio obituario para prabhakaran en su blog, atreverse a ser diferente: “era un terrorista, sin duda, pero prabhakaran merece un obituario, aun en un idioma que apenas entendía,” perera escribió.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu ya imani hizi zenye hatari, kipindi cha redio kilianzisha sehemu ya “imani zikipambanishwa na ukweli wa mambo”, ambapo (katika lugha ya mtaani ya kiliberia) tunazizungumzia imani hizo kwa mtindo wa kila wiki.

Spanish

por estos mitos potencialmente peligrosos, el equipo del programa radial ha desarrollado el segmento "mito vs. realidad", en el que (en el lenguaje coloquial liberiano) desmentimos los muchos mitos en una base semanal.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,777,813,818 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK