Results for lililokuwa translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

lililokuwa

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

na pazia lililokuwa limetundikwa hekaluni likapasuka vipande viwili.

Spanish

el sol se oscureció, y el velo del templo se rasgó por en medio

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

video inaonesha polisi akifanya vurugu kwa kulirushia tofali gari lililokuwa limeegeshwa katika kijiji cha jurdab.

Spanish

el vídeo muestra a un policía antidisturbios lanzando un ladrillo a un coche que se hallaba aparcado en el pueblo de jurdab.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bango lililokuwa mbele ya makao makuu hayo lilisomeka " leo ni siku ya kuachiwa kwake ".

Spanish

en un cartel delante de la sede central se lee "hoy es el día de su liberación".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

alikuwa amevaa vazi lililokuwa limelowekwa katika damu. na jina lake huyo ni "neno la mungu."

Spanish

está vestido de una vestidura teñida en sangre, y su nombre es llamado el verbo de dios

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kuonekana u tofauti lilikuwa pia jambo lililokuwa kwenye akili ya mwanablogu wa thegoriwifelife, yeye ni mwamerika aliyeolewa na mwanamme wa kipakistani.

Spanish

destacar también estuvo en la mente del blogger de thegoriwifelife, que es una estadounidense que está casada con un pakistaní.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alihisi kuwa kwa kumpiga ilikuwa kama onyo, lililokuwa na lengo la kumfanya asiendelee kublogu. hata hivyo, abel aliendelea na kazi yake.

Spanish

Él temió que la golpiza fuera una amenaza, un intento por detener sus publicaciones en su blog, pero abel siguió con su trabajo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku iliyofuata, juni 11, saa 11 jioni, kundi lililokuwa na wanaume na wanawake lilikusanyika kupinga kukamatwa kwa waandamanaji kulikotokea siku iliyotangulia.

Spanish

el día siguiente, el 11 de junio, a las 17:00 horas, un grupo de hombres y mujeres se reunieron para protestar en contra de los arrestos acontecidos el día anterior.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ardhi ilikuwa inatetemeka hata kufikia mzuzu, mbali kwa kilometa 150 huku tetemeko kubwa zaidi ya yote lililokuwa na kipimo cha 5.9 katika kipimo cha rikta.

Spanish

la tierra temblaba hasta mzuzu a 150 km, y alcanzó la medida más alta de 5.9 en la escala de richter.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

siku hiyo ya ziara ya waziri mkuu, muhammad siddique, mmliki wa gari lililokuwa kwenye foleni alisema mikutano muhimu na safari za watu maarufu zibaki kuwa kwenye maeneo ya kijeshi la jiji hilo.

Spanish

el día de la visita, muhammad siddique, un automovilista que quedó atrapado en la congestión vehicular, manifestó que, las reuniones importantes y los traslados de las personalidades importantes deberían ser delimitados en el acuertalamiento militar de alta seguridad de la ciudad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya dakika kadhaa, gari lililokuwa limembeba ajuza huyo liliegeshwa na alilazimishwa kutoka, akatelekezwa pembeni mwa bwawa karibu tu na eneo lisilo na watu liitwao penalver, nje ya mtaa wa cotorro.

Spanish

luego de varios minutos, el vehículo en donde fue introducida la dama de blanco la dejó abandonada en una presa cerca de penalver, un área de monte en las afueras del cotorro.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jengo la ghorofa tisa lililokuwa na idadi kubwa ya watu wanaotengeneza nguo liliporomoka huko savar, nje kidogo ya mji mkuu dhaka na kuua watu 142 na kujeruhi takribani watu elfu moja, hali iliyopelekea kuibua umakini wa hali ya usalama kwa sekta ya viwanda nchini bangladesh.

Spanish

un edificio de nueve pisos con fábricas de prendas de vestir se derrumbó en savar, en las afueras de la capital de bangladesh, dacca. más de 142 personas murieron y cerca de mil personas resultaron heridas, resucitando preocupaciones por las condiciones de seguridad en la industria manufacturera de bangladesh.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@usiful_me: kwa hiyo, itakuwa nilifikiri tu kwamba nilikuwa karibu na mtu aliyepigwa risasi ya mpira mguuni na mwingine aliyetupwa kwenye gari dogo la wazi lililokuwa kwenye mwendo

Spanish

@usiful_me: entonces, debo haberme imaginado haber estado cerca de un hombre al que le dispararon en la pierna con balas de hule y otro al que arrojaron a un vehículo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

gari la afisa wa polisi wa serikali ya mtaa lililokuwa na namba oku 8877, milio ya bunduki ilirekodiwa kutoka kwenye gari hilo– kwa mujibu wa mpakiaji wa video, felipe amorim , haikuwa risasi ya mpira.

Spanish

un coche de la policía local con la matrícula oku 8877 fue filmado disparando tiros que, según el autor del vídeo , felipe amorim , no eran balas de goma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@simsimt: nilipopelekwa kwenye gari (pick up) la #niss lililokuwa limeegeshwa katika eneo la maandamano, niliamriwa mara kadhaa kufungua simu yangu. #sudanrevolts

Spanish

@simsimt: mientras me llevaban hacia un camión del #niss estacionado cerca de la zona de protesta, me ordenaron varias veces que desbloqueara mi teléfono. #sudanrevolts

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,780,059,743 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK