Results for maangamizi translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

maangamizi

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

@lisandrosuero pia ametuma picha za maangamizi, pamoja nah ii hapa chini:

Spanish

@lisandrosuero también ha publicado fotos de la destrucción, incluida la que está debajo:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

taarifa katika nchi za marekani au uingereza zinadai kuwa silaha za maangamizi zilitumiwa na utawala wa rais assad kuwaua watu zaidi ya elfu moja nchini syria mwezi uliopita.

Spanish

informes en estados unidos o en el reino unido sugieren que las armas químicas fueron utilizadas por el régimen del presidente assad para matar a más de un millar de personas en siria el mes pasado.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wale wanaotaka kutajirika huanguka katika majaribu, na kunaswa katika mtego wa tamaa nyingi mbaya za kipumbavu, ambazo huwavuta mpaka kwenye uharibifu na maangamizi.

Spanish

porque los que desean enriquecerse caen en tentación y trampa, y en muchas pasiones insensatas y dañinas que hunden a los hombres en ruina y perdición

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanablogu aliyeko mjini chennai, india, prahalathan kk, anasema kuwa kushangilia kifo cha prabhakaran ni utovu wa heshima kwa raia waliouwawa katika harakati za kuwezesha maangamizi ya ltte.

Spanish

prahalathan kk, un blogger en chennai, india, dice que alegrarse por la muerte de prabhakaran no beneficia a los civiles muertos con la finalidad de hacer posible la derrota del ltte.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

@baheyah: ni mpinduzi ya wamisri na sio ya kijeshi, wamisri walitaka kumtoa mosri kwa kutumia silaka zao za maangamizi = sauti yao

Spanish

@baheyah : #egyptianrevolutionnotmilitarycoup (revolución egipcia, no golpe militar) los egipcios salieron a deshacerse de #morsi utilizando su arma de distracción masiva = su voz

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa sababu hiyo, habari za maangamizi ya uongozi wa juu wa ltte – ambao uliamuru kuuwawa kwake pamoja na watamil wengine wengi waliowapinga – kumeleta ahueni kubwa sana.

Spanish

por esa razón, la noticia de la muerte del líder principal del ltte – que ordenó que la mataran y que mataran a muchos otros disidentes tamiles – trae un abrumador alivio.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bloga living in barbados alimpachika jina mkimbiaji #1 duniani kama "silaha ya maangamizi", wakati bloga wa visiwa vya cayman mad bull alimuita "radi iliyopakwa mafuta", na akaongeza:

Spanish

living in barbados se refirió al #1 del mundo como “un arma de destrucción masiva”, mientras el blogger de las islas caimán mad bull lo llamó “rayo engrasado”, agregando:

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,740,804,661 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK