Results for majeraha translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

(wala usinifanye nianze kuhusu majeraha ya kisaikolojia.

Spanish

(ni me vengan con temas de traumas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakazi wa jiji la kyev wamekuja na kuwachukua wale wenye majeraha madogo

Spanish

ciudadanos de kiev vienen y se llevan a los que tienen heridas menos graves.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waishie kwenye duka la dawa, watibu majeraha yao na warudi nyumbani.

Spanish

solamente parar en una farmacia, tratarles las heridas y mandarlos a casa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilinibidi ninyanyuke na kusubiri kwa muda kiasi kabla ya watu wenye majeraha mado waliposafisha njia ya kutoka.

Spanish

tenía que pararme y esperar que alguien, con heridas menos importantes, hiciera espacio para salir.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha kwa idhini ya ugandaradionetwork.com mtoto mwenye majeraha usoni baada ya kuanguka kwenye moto wakati alipokakamaa

Spanish

niño con heridas en su rostro luego de haber caído al fuego durante una convulsión.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

(unicef) inalaani vurugu ambayo ilisababisha maafa haya na vifo vya kipumbavu na majeraha kwa watoto.

Spanish

(unicef) condena la violencia que resulta en estos accidentes y muertes trágicas y sin sentido de niños.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangia hapo ... kwa kusema kweli, tangia hapo, watu wapo mitaani...wale walioshindwa walikuwa na majeraha mabaya sana kwa vyovyote vile.

Spanish

desde ese momento... bien, desde ese momento la gente está en la calle,... bueno, los que no tienen heridas muy graves.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kisha yule mtu aliyepagawa aliwarukia wote kwa kishindo, akawashinda nguvu. na hao watoto wa skewa wakakimbia kutoka ile nyumba wakiwa uchi na wamejaa majeraha.

Spanish

y el hombre en quien estaba el espíritu malo se lanzó sobre ellos, los dominó a todos y prevaleció contra ellos, de tal manera que huyeron de aquella casa desnudos y heridos

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wapo walionusurika katika janga la tetemeko la ardhi, lakini walikufa huku kwa kweli wangeweza kabisa kuokolewa kwa sababu hawakupata matibabu katika muda mwafaka ili kumudu kuvumilia majeraha yao.

Spanish

hubo personas que sobrevivieron el terremoto, pero murieron innecesariamente porque las heridas que sufrieron no fueron tratadas a tiempo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa eleven media, watu 6 walifariki na wengine 12 walikimbizwa hospitalini kutoka na majeraha waliyoyapata wakati wa mashambulizi makali yaliyotokea kati ya mei 30 na juni 8 dhidi ya raia wa mynamar wanaoishi nchini malasia.

Spanish

según eleven media , seis personas murieron y 12 fueron hospitalizadas con heridas durante los violentos ataques contra ciudadanos de myanmar en malasia entre el 30 de mayo y el 8 de junio.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yeye mwenyewe alizibeba dhambi zetu katika mwili wake juu ya msalaba, tupate kufa kuhusu dhambi, na kuishi kwa ajili ya uadilifu. kwa majeraha yake, ninyi mmeponywa.

Spanish

Él mismo llevó nuestros pecados en su cuerpo sobre el madero a fin de que nosotros, habiendo muerto para los pecados, vivamos para la justicia. por sus heridas habéis sido sanados

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwandishi huyo alitafuta matibabu kwenye hospitali ya queen mary na taarifa ya matibabu yake inathibitisha kuwa amepata majeraha kwenye uso wake, utosi, pua, mdomo, shingoni na kwenye mkono wa kushoto.

Spanish

el reportero necesitó tratamiento médico en el hospital queen mary y el informe médico encontró lesiones obvias en su cara, frente, nariz, boca, cuello y brazo izquierdo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa mujibu wa tume ya haki za binadamu nchini pakistani, tangu mwaka 2010, miili ya mamia ya wabalochistani "waliopotea" wanasemekana kupoteza maisha wakiwa na majeraha ya kuteswa.

Spanish

según la comisión de derechos humanos de pakistán, desde 2010, fueron encontrados los cuerpos de centenares de “desaparecidos” baluches con indicios de haber sufrido torturas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

lakini hakuna linaloweza kusaidia dhidi ya kanuni za newton wakati dazeni za tani za vyuma zinaposimama mara moja wakati zikiwa katika mwendo wa kasi – ni bahati tu… kwa hiyo nilikuwa na bahati tu. kaka yangu alikuwa na bahati, pia, ukiachilia mbali ukweli kuwa majeraha yake yalikuwa yanatisha kuliko yangu.

Spanish

pero nada puede ayudar para hacer frente a las leyes de newton, excepto la suerte, cuando docenas de toneladas de metal se detienen a gran velocidad ... tuve suerte; mi hermano también tuvo suerte a pesar que sus heridas fueron mas serias que las mías.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,946,584,983 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK