Results for makedonia translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

makedonia

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

kwa hiyo ninyi mmekuwa mfano mzuri kwa waumini wote wa makedonia na akaya.

Spanish

de tal manera que habéis sido ejemplo a todos los creyentes en macedonia y en acaya

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nitakuja kwenu, baada ya kupitia makedonia--maana nataraji kupitia makedonia.

Spanish

iré a vosotros cuando haya pasado por macedonia, porque por macedonia he de pasar

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu, tunapenda kuwapa habari juu ya neema ambazo mungu ameyajalia makanisa ya makedonia.

Spanish

ahora, hermanos, os hacemos conocer la gracia de dios que ha sido concedida a las iglesias de macedonia

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini nilifadhaika sana kwa kutomkuta ndugu yetu tito. ndiyo maana niliwaaga wote pale nikaenda makedonia.

Spanish

no tuve reposo en mi espíritu por no haber hallado a mi hermano tito. así que me despedí de ellos y partí para macedonia

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana makanisa ya makedonia na akaya yemeamua kutoka mchango wao kuwasaidia watu wa mungu walio maskini huko yerusalem.

Spanish

porque macedonia y acaya tuvieron a bien hacer una ofrenda para los pobres de entre los santos que están en jerusalén

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mmekuwa mkiwatendea hivyo ndugu zenu wote kila mahali katika makedonia. basi, ndugu tunawaombeni mfanye hata zaidi.

Spanish

de hecho, lo estáis haciendo con todos los hermanos por toda macedonia; pero os exhortamos, hermanos, a que sigáis progresando aun más

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

picha ya maandamano yaliyohusu kazi za mikataba ya muda na wale walio na ajira zaidi ya moja nchini makedonia, tarehe 24, desemba.

Spanish

imagen de los manifestantes en la primera marcha de los trabajadores a tiempo parcial y autónomos en macedonia. diciembre 2014.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya sila na timotheo kuwasili kutoka makedonia, paulo alianza kutumia wakati wake wote kwa ajili ya kuhubiri, akawathibitishia wayahudi kwamba yesu ndiye kristo.

Spanish

cuando silas y timoteo llegaron de macedonia, pablo se dedicaba exclusivamente a la exposición de la palabra, testificando a los judíos que jesús era el cristo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mji wote ukajaa ghasia. wakawavamia gayo na aristarko, wenyeji wa makedonia, ambao walikuwa wasafiri wenzake paulo, wakakimbia nao mpaka kwenye ukumbi wa michezo.

Spanish

y la ciudad se llenó de confusión. se lanzaron unánimes al teatro, arrebatando a gayo y a aristarco, macedonios y compañeros de pablo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

usiku huo, paulo aliona ono ambalo alimwona mtu mmoja wa makedonia amesimama pale na kumwomba: "vuka, uje makedonia ukatusaidie."

Spanish

y por la noche se le mostró a pablo una visión en la que un hombre de macedonia estaba de pie rogándole y diciendo: "¡pasa a macedonia y ayúdanos!

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nilipokuwa nanyi sikumsumbua mtu yeyote nilipohitaji fedha; ndugu waliotoka makedonia waliniletea kila kitu nilichohitaji. nilikuwa mwangalifu sana nisiwe mzigo kwa namna yoyote ile, na nitaendelea kufanya hivyo.

Spanish

cuando estaba entre vosotros y tuve necesidad, a ninguno fui carga porque lo que me faltaba lo suplieron los hermanos cuando vinieron de macedonia. en todo me guardé de seros gravoso, y así me guardaré

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

isije ikawa kwamba watu wa makedonia watakapokuja pamoja nami tukawakuta hamko tayari, hapo sisi tutaaibika--bila kutaja aibu mtakayopata ninyi wenyewe--kwa sababu tutakuwa tumewatumainia kupita kiasi.

Spanish

no sea que, si van conmigo algunos macedonios y os hallan no preparados, nos avergoncemos nosotros (por no decir vosotros) por haber tenido esta confianza

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, na nilijivuna juu yenu kuhusu jambo hilo mbele ya watu wa makedonia. niliwaambia: "ndugu zetu wa akaya wako tayari tangu mwaka jana." hivyo, moto wenu umekwisha wahimiza watu wengi zaidi.

Spanish

pues conozco vuestra pronta disposición, por la cual me glorié de vosotros entre los de macedonia: "acaya está preparada desde el año pasado." y vuestro celo ha servido de estímulo para muchos

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,776,986,955 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK