Results for makofi translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

novemba 2011 saudi arabia: hasira dhidi ya makofi 10 kwa dereva mwanamke

Spanish

nov 2011 arabia saudita: condenada a 10 latigazos por conducir un automóvil

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alidai kupigwa makofi, mateke, kutukanwa kwa maneno vibaya na nywele zake kuvutwa.

Spanish

afirmó haber sido abofeteada, pateada, agredida verbalmente y habérsele jalado el cabello.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hong kong: video inayosambazwa mtandoni yamwonyesha jamaa akipigwa makofi mara 14 na rafiki yake wa kike

Spanish

hong kong: video viral muestra a novia abofetear 14 veces a hombre arrodillado

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hong kong: mfanyakazi wa ndani apigwa makofi, mateke na kulazimishwa kufanya kazi masaa 21 kwa siku

Spanish

hong kong: trabajadora doméstica abofeteada, pateada y forzada a trabajar 21 horas al día

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na haikuwa ibada yao kwenye hiyo nyumba (al kaaba) ila ni kupiga miunzi na makofi.

Spanish

su azalá en la casa no consiste más que en silbidos y palmas.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakawa wanakuja mbele yake na kusema: "shikamoo, mfalme wa wayahudi!" wakampiga makofi.

Spanish

y venían hacia él y le decían: --¡viva el rey de los judíos! y le daban de bofetadas

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

raia waliokusanyika hapo waliwapokea wachimbaji madini hao kwa kuwashangilia kwa kuwapigia makofi, maneno ya kuwakubali, misemo iliyoonesha kutambua hisia za wachimbaji hao wa madini pamoja na wimbo wao wa kuonesha namna wanavyo wathamini ambao uliimbwa wakati wa matembezi ya pamoja katikati ya mji mkuu.

Spanish

los ciudadanos congregados acogieron a los mineros entre aplausos, palabras de admiración, lemas simpatizantes y con su propio himno entonado por los presentes a lo largo de todo el recorrido por el centro de la capital.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,891,541,307 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK