Results for muwe translation from Swahili to Spanish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

na wanapenda muwe makafiri.

Spanish

querrían que no creyerais...

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanakuapieni ili muwe radhi nao.

Spanish

os conjuran que aceptéis sus excusas.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe na moyo mkuu rafiki zangu.

Spanish

permanezcan fuertes queridas familias.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

nyie watu muwe na uhakika na mnachokisema!

Spanish

¿cerciórenese bien!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe na huruma kwa watu walio na mashaka;

Spanish

de algunos que vacilan tened misericordia

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe na huruma kama baba yenu alivyo na huruma.

Spanish

sed misericordiosos, como también vuestro padre es misericordioso

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, muwe wakamilifu kama baba yenu wa mbinguni alivyo mkamilifu.

Spanish

sed, pues, vosotros perfectos, como vuestro padre que está en los cielos es perfecto

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe radhi kutumikia kwa ajili ya bwana na si kwa ajili ya watu.

Spanish

servid de buena voluntad, como al señor, no como a los hombres

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ninyi ni miongoni mwa watu hao; mmeitwa muwe watu wake yesu kristo.

Spanish

entre las cuales estáis también vosotros, los llamados de jesucristo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wanapenda lau kuwa nanyi mnge kufuru kama walivyo kufuru wao, ili muwe sawa sawa.

Spanish

querrían que, como ellos, no creyerais, para ser iguales que ellos.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe kama watumishi wanaomngojea bwana wao arudi kutoka arusini, ili wamfungulie mara atakapobisha hodi.

Spanish

y sed vosotros semejantes a los siervos que esperan a su señor cuando ha de volver de las bodas, para que le abran al instante en que llegue y llame

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

msiwe wavivu, bali muwe kama wale wanaoamini na wenye uvumilivu na hivyo wanapokea yake aliyoahidi mungu.

Spanish

a fin de que no seáis perezosos, sino imitadores de los que por la fe y la paciencia heredan las promesas

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na si mali yenu wala watoto wenu watakao kukaribisheni kwetu muwe karibu, isipo kuwa aliye amini na akatenda mema.

Spanish

ni vuestra hacienda ni vuestros hijos podrán acercaros bien a nosotros.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe wenye kutubia kwake, na mcheni yeye, na shikeni sala, na wala msiwe katika washirikina.

Spanish

volviéndoos a Él arrepentidos. ¡temedle, haced la azalá y no seáis de los asociadores,

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ndugu, msiwe kama watoto katika fikira zenu. kuhusu uovu muwe kama watoto wachanga lakini katika kufikiri ni lazima muwe kama watu waliokomaa.

Spanish

hermanos, no seáis niños en el entendimiento; más bien, sed bebés en la malicia, pero hombres maduros en el entendimiento

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

muwe kama mimi; najaribu kuwapendeza wote kwa kila njia, bila kutafuta faida yangu mwenyewe ila faida ya wote, wapate kuokolewa.

Spanish

así como yo en todo complazco a todos, no buscando mi propio beneficio sino el de muchos, para que sean salvos

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akasema: huyu ngamia jike; awe na zamu yake ya kunywa, na nyinyi muwe na zamu yenu ya kunywa katika siku maalumu.

Spanish

dijo: «he aquí una camella. un día le tocará beber a ella y otro día a vosotros.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mcheni mwenyezi mungu, na muaminini mtume wake, atakupeni sehemu mbili katika rehema yake, na atakujaalieni muwe na nuru ya kwenda nayo. na atakusameheni.

Spanish

¡temed a alá y creed en su enviado! os dará, así, participación doble en su misericordia, os pondrá una luz que ilumine vuestra marcha y os perdonará.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,934,726,576 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK