Results for mwanawe translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

mwanawe

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

akenda naye (mwanawe) kwa jamaa zake amembeba.

Spanish

y vino con él a los suyos, llevándolo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwishowe akamtuma mwanawe huku akifikiri: watamheshimu mwanangu.

Spanish

por último, les envió a su hijo, diciendo: "tendrán respeto a mi hijo.

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

nilmuuliza kuhusu adham, mwanawe mwenye umri wa miaka 11.

Spanish

le pregunté sobre adham, su hijo de 11 años.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na nuhu akamwita mwanawe naye alikuwa mbali: ewe mwanangu!

Spanish

noé llamó a su hijo, que se había quedado aparte: «¡hijito!

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, ikiwa daudi anamwita kristo bwana, anawezaje kuwa mwanawe?"

Spanish

pues, si david le llama señor, ¿cómo es su hijo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

mama asitiwe taabuni kwa ajili ya mwanawe, wala baba kwa ajili ya mwanawe.

Spanish

no se dañará a la madre por razón de su hijo, ni al padre.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.

Spanish

--el reino de los cielos es semejante a un rey que celebró el banquete de bodas para su hijo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama vile baba alivyo asili ya uhai, ndivyo pia alivyomjalia mwanawe kuwa asili ya uhai.

Spanish

porque así como el padre tiene vida en sí mismo, así también dio al hijo el tener vida en sí mismo

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

alipokuwa bado njiani, watumishi wake walikutana naye, wakamwambia kwamba mwanawe alikuwa mzima.

Spanish

mientras todavía descendía, sus siervos salieron a recibirle diciendo que su hijo vivía

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini wakati ule maalumu ulipotimia, mungu alimtuma mwanawe aliyezaliwa na mwanamke, akaishi chini ya sheria

Spanish

pero cuando vino la plenitud del tiempo, dios envió a su hijo, nacido de mujer y nacido bajo la ley

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati huo huo, inasemekana kuwa viza ya kim aris, mwanawe aung san suu kyi iliidhinishwa ili aweze kuzuru myanmar.

Spanish

mientras tanto, se infirmó que a kim aris, el hijo de aung san su kyi, se le había concedido una visa para visitar myanmar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni ishara kwa walimwengu.

Spanish

y a la que conservó su virginidad. infundimos en ella de nuestro espíritu e hicimos de ella y de su hijo signo para todo el mundo.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliniambia kuwa mwanawe amewasha mishumaa miwili na amesambaza wanasesere wake anajaribu kucheza, pamoja na baridi na hofu na makombora na vifo na athari.

Spanish

me dijo que encendió dos velas, preparó sus juguetes e intentaba jugar, a pesar del frío, del temor, de los bombardeos, de la muerte y del trauma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, akafika sukari, mji mmoja wa samaria, karibu na shamba ambalo yakobo alikuwa amempa mwanawe, yosefu.

Spanish

así que llegó a una ciudad de samaria llamada sicar, cerca del campo que jacob había dado a su hijo josé

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mara ya mwisho nilipoangalia, mwanawe wa kiume, kimathi, anafanya kazi na benki ya fidelity. nao pia wanatoa mikopo ya nyumba.

Spanish

la última vez que verifiqué, su hijo kimathi trabaja en el banco fidelity; ellos también ofrecen préstamos hipotecarios, podría ir a pedir uno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadri ya mwezi mmoja uliopita, watumiaji wa mtandao wa kijamii wa irani waliweka video ifuatayo ikimwonyesha nasrin sotoudeh akijaribu kucheza na mwanawe wa kiume wa miaka minne kupitia dirishani walipomtembelea akiwa jela.

Spanish

hace casi un mes, los usuarios de una red social iraní difundieron el siguiente material de video de nasrin sotoudeh tratando de jugar con su hijo de cuatro años a través de los vidrios en una visita a la prisión.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini yosefu aliposikia kwamba arkelao mwanawe herode alikuwa mfalme wa yudea mahali pa baba yake, aliogopa kwenda huko. naye baada ya kuonywa katika ndoto, alikwenda katika mkoa wa galilaya,

Spanish

pero, al oír que arquelao reinaba en judea en lugar de su padre herodes, tuvo miedo de ir allá; y advertido por revelación en sueños, fue a las regiones de galilea

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

diana anaendelea kuelezea maongezi yake na philomène, ambaye, pamoja na jitihada zote, hakuwa amefanikiwa kupata msaada kwa ajili ya upasuaji ili kuondoa uvimbe ule mkubwa uliokuwa kwenye paji la uso la mwanawe.

Spanish

diana continúa describiendo la interacción con philomène quien, a pesar de sus mejores esfuerzos, no pudo conseguir ayuda para afrontar la operación que extraería la gran protuberacia en la frente de su hijo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kundi zima la mradi wa kublogu wa foko wakaitikia wito na kumsaidia diana kuanzisha zaza sy vavy gasy ("kwa mama wa ki-malagasy na mwanawe") , tovuti ya lugha mbili yenye lengo la kuongeza misaada na ufadhili kwa ajili ya upasuaji aghali utakaoondoa uvimbe kwenye paji la uso la kamba.

Spanish

el proyecto foko completo fue tras la iniciativa y ayudó a diana a levantar zaza sy vavy gasy (”para mujeres y niños malagaches”), un sitio bilingüe dedicado a conseguir ayuda y financiamiento para la costosa operación de remover la protuberancia de la frente de kamba.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,790,633,633 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK