From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.
kwa hiyo nikamuuliza kama alikuwa na simu ya mtn ili niweze kumalizia malipo kwa kupitia huduma ya kuhamisha salio kwa simu.
así que le pregunté si tenía un teléfono mtn para poder completar el pago por medio de una transferencia de crédito telefónico.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:
nikamuuliza matunda hayo yalikuwa yanauzwa bei gani, tukaingia dukani pamoja na rafiki yangu na mama yake, tukarudi na nikaamua ninayahitaji matunda hayo na kuanza kuomba kupunguziwa bei.
le pregunté a cuánto estaban las manzanas, entré a la tienda con mi amiga y su mamá, y regresamos y decidí que quería manzanas y empecé a regatear.
Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality: