Results for thelathini translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

thelathini

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

mara tano nilichapwa vile viboko thelathini na tisa vya wayahudi.

Spanish

cinco veces he recibido de los judíos cuarenta azotes menos uno

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.

Spanish

se encontraba allí cierto hombre que había estado enfermo durante treinta y ocho años

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akawaambia, "mtanipa kitu gani kama nikimkabidhi yesu kwenu?" wakamhesabia sarafu thelathini za fedha;

Spanish

y les dijo: --¿qué me queréis dar? y yo os lo entregaré. ellos le asignaron treinta piezas de plata

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naye nikodemo ambaye hapo awali alikuwa amemwendea yesu usiku, akaja akiwa amechukua mchanganyiko wa manemane na ubani kiasi cha kilo thelathini.

Spanish

también nicodemo, que al principio había venido a jesús de noche, fue llevando un compuesto de mirra y áloes, como cien libras

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kwa hiyo hajakutana na watoto wake wawili, ambao hivi sasa wana umri wa zaidi ya miaka thelathini, kwa zaidi ya muongo mmoja sasa.

Spanish

ahora sus hijos están cerca a los 30 años y hasta ahora no los ha podido ver por casi una década.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mapema mwaka 2008, nchi thelathini na tatu kati ya arobaini na nane zilizo kusini mwa jangwa la sahara zilikuwa na katiba zenye ukomo wa vipindi vya urais.

Spanish

a comienzos de 2008, treinta y tres de los cuarenta y ocho países subsaharianos de África tenían constituciones que contenían disposiciones de límites al mandato.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini nyingine zilianguka penye udongo mzuri, zikaota, zikazaa: nyingine punje mia moja, nyingine sitini na nyingine thelathini.

Spanish

y otra parte cayó en buena tierra y dio fruto, una a ciento, otra a sesenta y otra a treinta por uno

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo maneno ya nabii yeremia yakatimia: "walizichukua sarafu thelathini za fedha, thamani ya yule ambaye watu wa israeli walipanga bei,

Spanish

entonces se cumplió lo que fue dicho por el profeta jeremías, cuando dijo: y tomaron las treinta piezas de plata, precio del apreciado, según el precio fijado por los hijos de israel

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kama tukiruhusu watu kuvaa hijab, basi kesho wanafunzi thelathini katika darasa moja watajitokeza wamevaa kitu tofauti –na hiyo haitasababisha chochote chema,” anaeleza.

Spanish

si permitimos que la gente use el hijab, a la mañana siguiente tendríamos treinta estudiantes en una sala de clases usando algo diferente, y eso no nos llevaría a nada bueno.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ile mbegu iliyopandwa katika udongo mzuri ni mfano wa mtu ausikiaye ujumbe huo na kuuelewa, naye huzaa matunda; mmoja mia, mwingine sitini na mwingine thelathini."

Spanish

pero el que fue sembrado en buena tierra, éste es el que oye la palabra y la entiende, el que de veras lleva fruto y produce, uno a ciento, otro a sesenta, y otro a treinta por uno

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa mara ya pili ndani ya kipindi cha miezi minne tu, mwandishi wa habari wa venezuela na mwanaharakati, luis luis carlos díaz, amenyanyaswa kupitia akaunti yake ya twita na simu yake ya mkononi na kikundi kinachojulikana kama "wezi wa akaunti za mtandaoni", na ambao hutumia jina la n33, na bila shaka ni kundi lilelile la watu ambao miezi michache iliyopita liliiba maneno ya siri ya akaunti za twita na baruapepe ya karibu watu thelathini maarufu wa venezuela, baadhi yao ni waandishi wa habari sebastiana barráez, ibéyise pacheco, mchekeshaji wa kisiasa laureano márquez, mwanaharakati rocío san miguel na mwandishi leonardo padrón, miongoni mwa wengine wengi.

Spanish

por segunda vez en cuatro meses, el periodista y ciberactivista venezolano luis carlos díaz está siendo acosado, a través de su cuenta en twitter y su teléfono móvil, por un supuesto grupo de "hackers" que actúan bajo el nombre de n33 y sería al mismo grupo de personas que en meses anteriores han intervenido cuentas de twitter y correos electrónicos de unas treinta personalidades venezolanas, incluyendo los periodistas sebastiana barráez, ibéyise pacheco, el humorista político laureano márquez, la activista rocío san miguel y el escritor leonardo padrón, entre otros.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,779,031,904 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK