Results for walitangaza translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

walitangaza

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

walitangaza habari zinazoipinga hamas.

Spanish

difundían material anti-hamas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hamas pia walitangaza kuwaunga mkono watu wa syria katika mapambano yao dhidi ya assad.

Spanish

hamas ha declarado también su apoyo a la gente de siria en su lucha contra assad.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

manabii wote, kuanzia samweli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.

Spanish

y todos los profetas, de samuel en adelante, todos los que hablaron, también anunciaron estos días

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

juma lililopita, kwa kuongezeka kwa uwezekano wa vita ya marekani na israel dhidi ya iran, maafisa wawili wa juu wa hamas walitangaza kwamba hamasi haitajihusisha na itaiunga mkono iran ikitokea israel itashambulia.

Spanish

la semana pasada, en vista de la alta posibilidad de una guerra norteamericana-israelí en irán, 2 de los más altos oficiales de hamas anunciaron que hamas no se involucraría apoyando a irán en caso de un ataque israelí.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwezi agosti, watafiti wa chuo kikuu cha oxford walitangaza kwamba wataanza majaribio ya kinga kwa wa-ingereza waliojitolea kushiriki zoezi hilo wakishapata ruhusa ya kuzingatia maadili ya tafiti, na kisha zoezi hilo linatarajiwa kufanyika pia kwenye nchi za gambia na mali.

Spanish

en agosto, investigadores de la universidad de oxford anunciaron que comenzarían a experimentar con una vacuna potencial en voluntarios británicos sanos una vez que obtengan la aprobación del comité de ética, ensayos que se ampliarían con el tiempo a gambia y mali.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

makamanda wa jeshi walitangaza kuundwa kwa baraza jipya la taifa na kiongozi wake, jenerali mohamed ould abdel aziz (mmoja kati ya majenerali wanne wa jeshi waliotimuliwa), kwenye radio na vituo vya televisheni vya serikali.

Spanish

los comandantes militares anunciaron la formación de un nuevo consejo de estado y su líder, el general mohamed ould abdel aziz (uno de los cuatro generales despedidos) en estaciones de radio y televisión del estado.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,773,678,366 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK