Results for walitembea translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

walitembea

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

mateka hao walitembea mpaka kwenye kilele cha kilima hiki ambapo walizingirwa na genge la wauaji na kisha kushambuliwa kwa mabomu, mapanga na marungu.

Spanish

los caminantes llegaron a esta pequeña colina, donde fueron rodeados por una pandilla de asesinos y atacados con granadas, machetes y palos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hata hivyo, watu hawakuweza kukubali maneno yao matupu na badala yake, walitembea kuelekea kwenye jengo la serikali ya manispaa ambapo katibu wa kamati ya manispaa aliwaonesha hati ya kusitishwa kwa mradi huo.

Spanish

todavía había gente que no podía aceptar la promesa verbal y marcharon hacia el edificio del gobierno municipal, donde el secretario del partido municipal les mostró un aviso escrito de la cancelación del proyecto.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waandamanaji walitembea maeneo mbalimbali ya jiji wakiwa wamebeba mabango pamoja na kuvaa mabarakoi yaliyo na maandishi yaliyoandikwa “tunataka watoto, siyo atomi”.

Spanish

quienes marchaban por la ciudad llevaban carteles y portaban máscaras que decían “queremos niños no átomos.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mamia ya watu walitembea polepole kwa huzuni kubwa kupitia njia ndefu iliyoelekea kwenye kilima kwenda nyanza, wengi wao walivaa chochote chenye rangi ya zambarau, kitambaa cha begani, kanga, au utepe wa mkononi.

Spanish

cientos de personas se dirigieron hacia la colina de nyanza, muchos de ellos usando algo púrpura, una bufanda, un chal e incluso una pulsera púrpura.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

baada ya kukutana kwenye sanamu ya simon bolivar (baba wa taifa la venezuela) iliyoko kwenye eneo la polanco, waandamanaji walitembea kupitia kwenye mtaa wa reforma wakielekea mahali panapoitwa malaika wa uhuru.

Spanish

la marcha tuvo como punto de encuentro el obelisco simón bolívar, situado en la colonia polanco, y recorrió la gran avenida reforma hasta el Ángel de la independencia.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,768,224,454 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK