Results for wanayofanya translation from Swahili to Spanish

Swahili

Translate

wanayofanya

Translate

Spanish

Translate
Translate

Instantly translate texts, documents and voice with Lara

Translate now

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

wapeni heshima kubwa na kuwapenda kwa sababu ya kazi wanayofanya. muwe na amani kati yenu.

Spanish

tenedlos en alta estima con amor a causa de su obra. vivid en paz los unos con los otros

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakati uliopita mlikuwa na muda mrefu wa kufanya mambo wanayofanya watu wasiomjua mungu. mliishi maisha ya anasa, ubinafsi, ulevi, ugomvi, kunywa mno na ya ibada haramu za sanamu.

Spanish

porque ya es suficiente el haber hecho en el tiempo pasado los deseos de los gentiles, habiendo andado en sensualidad, en bajas pasiones, en borracheras, en orgías, en banqueteos y en abominables idolatrías

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwitiko dhaifu unaonyesha kuwa kama kila wanandoa wataiunga mkono kampeni na kufanya ubakaji ndani ya ndoa kuwa sheria, polisi watatingwa sana mwaka mzima na hawatakuwa na muda wa kuilinda singapore salama dhidi ya jinai na ugaidi ila kuchunguza yale wanayofanya maelfu ya wanandoa kila usiku katika vitanda, kutathmini kama nguvu za ziada zilitumika dhidi ya mwanandoa mwenza.

Spanish

la falta de respuesta es una muestra de que si cada pareja apoya la campaña de convertir la violación dentro del matrimonio en una ley, la policía estará demasiado ocupada a lo largo del año y no tendrá tiempo para mantener singapur seguro y protegido de los crímenes y el terrorismo excepto para investigar lo que miles de parejas hacen todas las noches en su cama, y aclarar si usaron fuerza excesiva con su pareja.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika posti iliyotoka kabla ya tetemeko, mwanablogu wa repeating islands anasema mfumo, “ambao kupitia kwa huo wazazi wanaoshindwa kuwatunza watoto wao huwapeleka kusihi na ndugu wenye ahueni au wageni ambako hupata chakula na, malazi na elimu kama malipo kwa kazi wanayofanya” umekuwa kama aina ya utumwa.

Spanish

en un post de antes del terremoto, repeating islands dice que el sistema “a través del cual los padres que no pueden mantener a sus hijos los mandan a vivir con parientes más acomodados o con extraños de los que reciben comida, techo y educación a cambio de de trabajo” se ha convertido en casi una esclavitud.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,945,886,502 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK