Results for waweze translation from Swahili to Spanish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Spanish

Info

Swahili

waweze

Spanish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Spanish

Info

Swahili

tunahitaji mfumo ambao utawafanya wanawake waweze kuongea na mapolisi bila ya woga.

Spanish

necesitamos un sistema con el que las mujeres puedan acercarse a la policía sin miedo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

waajiri wengine wanawapa hata nafasi ya kufanyiwa mahojiano ili waweze kuwaajiri kabisa.

Spanish

algunos empresarios los usan como entrevistas "continuas".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

waandishi wa habari lazima waweze kuandika habari za maandamano kwa uhuru na bila wasiwasi wa kubughudhiwa.

Spanish

los periodistas deben tener la facultad de cubrir manifestaciones libremente y sin ningún miedo a que los acosen.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

jitahidi kumsaidia mwana sheria zena na apolo ili waweze kuanza ziara zao na uhakikishe kwamba wana kila kitu wanachohitaji.

Spanish

encamina a zenas, maestro de la ley, y a apolos, para que no les falte nada

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

badala yake, tunafuatilia lengo hili kwa kuwezesha uhamiaji wa watu ili kwamba waweze kusafiri kwenda kule ambapo rasilimali zipo.

Spanish

en cambio, nosotros buscamos el objetivo directamente, liberalizando el flujo social para que viajen allá donde estén los recursos.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mradi huu unazikutanisha jamii na hususani vijana ili waweze kudumisha amani pamoja na kulinda haki za binadamu na kuleta maridhiano.

Spanish

esta iniciativa moviliza las comunidades especialmente de jóvenes para buscar la paz, los derechos humanos y la reconciliación.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama hawana, kitu ambacho serikali inahitaji kufanya ni kuwapa uwezo wa kuweza kujimudu ili waweze kununua chombo hicho cha msingi.

Spanish

si no es así, lo que el gobierno tiene que hacer es darles la posibilidad de poder permitirse una herramienta tan básica.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kadhalika tunajaribu kuendesha mafunzo pamoja na kufanya kazi na wanahabari wa kiraia ili kwamba waweze kutuletea habari zenye kuweza kutumainiwa kwamba ni za kweli.

Spanish

al mismo tiempo, tratamos de entrenar y trabajar con periodistas ciudadanos para que podamos brindar información confiable.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

bila ya shaka watu hawa wananyunyuziwa rangi ya waridi ili polisi waweze kuwanyanyapaa na kuwahoji na kuwaonea wakati wanajaribu kuvunja moyo wao wa jukumu la kiraia na uhuru wa kujieleza!

Spanish

¡no hay duda de que estas personas fueron rociadas con pintura rosada para que así la policía pueda acosarlas, interrogarlas y abusar de ellas en un esfuerzo por aplastar sus espíritus de deber cívico y libertad de expresión!

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwenendo wenu kati ya watu wasiomjua mungu unapaswa kuwa mwema kabisa, ili hata watakapowasingizieni kwamba mnatenda mabaya, waweze kutambua matendo yenu mema na hivyo wamtukuze mungu siku ya kuja kwake.

Spanish

tened una conducta ejemplar entre los gentiles, para que en lo que ellos os calumnian como a malhechores, al ver vuestras buenas obras, glorifiquen a dios en el día de la visitación

Last Update: 2012-05-06
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mkakati wa etecsa ni kuwa, siku zijazo mtandao upatikane hadi majumbani, hata hivyo, mpango wa awali wa kampuni ni kuongeza matawi yake ili watu wengi zaidi waweze kupata huduma.

Spanish

la estrategia de etecsa prevé el acceso a estos servicios desde los hogares; pero la prioridad inicial de la empresa ha sido ampliar las salas de navegación colectivas, para garantizar el acceso a un mayor número de personas.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

anaongeza zaidi kuwa: “pindi tovuti ikianza kufanya kazi na kwa kutumia idadi nzuri ya zana au miundo, nitaufanya msimbo kuwa wa wazi kwa kila mtu na kuwakaribisha waendelezaji na waandishi wa habari kuuimarisha ili waweze kutengeneza matoleo yao ya tovuti hii.

Spanish

y agrega: "una vez que el sitio esté funcionando solo con una saludable cantidad de aplicaciones, haré el código open source e invitaré a desarrolladores y periodistas a mejorarlo para que puedan lanzar sus propias versiones del sitio".

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,787,435,714 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK