Results for halisi translation from Swahili to Turkish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Turkish

Info

Swahili

huu ndio mwanga halisi, mwanga unaokuja ulimwenguni, na kuwaangazia watu wote.

Turkish

dünyaya gelen, her insanı aydınlatan gerçek ışık vardı.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

sasa basi jueni kwamba watu wenye kumwamini ndio walio watoto halisi wa abrahamu.

Turkish

Öyleyse şunu bilin ki, İbrahimin gerçek oğulları iman edenlerdir.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

uzima wenu halisi ni kristo, na wakati atakapotokea ndipo nanyi pia mtakapotokea pamoja naye katika utukufu.

Turkish

yaşamınız olan mesih göründüğü zaman, siz de onunla birlikte yücelmiş olarak görüneceksiniz.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama vile watoto wachanga wanavyotamani maziwa, nanyi pia mnapaswa kuwa na hamu ya maziwa halisi ya kiroho, ili kwa nguvu yake mpate kukua na kukombolewa.

Turkish

yeni doğmuş bebekler gibi, hilesiz sütü andıran tanrı sözünü özleyin ki, bununla beslenip büyüyerek kurtuluşa erişesiniz.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana kristo hakuingia mahali patakatifu palipojengwa kwa mikono ya watu, ambapo ni mfano tu wa kile kilicho halisi. yeye aliingia mbinguni kwenyewe ambako sasa anasimama mbele ya mungu kwa ajili yetu.

Turkish

Çünkü mesih, asıl kutsal yerin örneği olup insan eliyle yapılan kutsal yere değil, ama şimdi bizim için tanrının önünde görünmek üzere asıl göğe girdi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

yesu akawaambia, "kweli nawaambieni, mose hakuwapeni mkate kutoka mbinguni; baba yangu ndiye awapaye ninyi mkate halisi kutoka mbinguni.

Turkish

İsa onlara dedi ki, ‹‹size doğrusunu söyleyeyim, gökten ekmeği size musa vermedi, gökten size gerçek ekmeği babam verir.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kwa hiyo, ndugu zangu, maadam mungu ni mwenye huruma nyingi, nawasihi kwa moyo wote: jitoleeni nafsi zenu kwa mungu kama tambiko iliyo hai, takatifu na yenye kupendeza. hii ndiyo njia yenu halisi ya kumwabudu.

Turkish

Öyleyse kardeşlerim, tanrının merhameti adına size yalvarırım: bedenlerinizi diri, kutsal, tanrıyı hoşnut eden birer kurban olarak sunun. ruhsal tapınmanız budur.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,920,131,648 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK