Results for kiebrania translation from Swahili to Turkish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Turkish

Info

Swahili

kiebrania

Turkish

İbranice

Last Update: 2015-03-23
Usage Frequency: 4
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

basi, roho hao wakawakusanya hao wafalme mahali paitwapo kwa kiebrania harmagedoni.

Turkish

Üç kötü ruh, kralları İbranice armagedon denilen yere topladılar.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

yule mkuu wa jeshi akamruhusu. hivyo paulo alisimama juu ya ngazi, akawapungia mkono wale watu na walipokaa kimya, akaanza kuongea nao kwa kiebrania.

Turkish

komutanın izin vermesi üzerine pavlus merdivende dikilip eliyle halka bir işaret yaptı. derin bir sessizlik olunca, İbrani dilinde konuşmaya başladı.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

huko yerusalemu, karibu na mlango uitwao mlango wa kondoo, kulikuwa na bwawa la maji liitwalo kwa kiebrania bethzatha, ambalo lilikuwa na baraza tano zenye matao.

Turkish

yeruşalimde koyun kapısı yanında, İbranicede beytesta denilen beş eyvanlı bir havuz vardır.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

sisi sote tulianguka chini, nami nikasikia sauti ikiniambia kwa kiebrania: saulo, saulo! kwa nini unanitesa? unajiumiza bure kama punda anayepiga teke fimbo ya bwana wake.

Turkish

hepimiz yere yıkılmıştık. bir sesin bana İbrani dilinde seslendiğini duydum. ‹saul, saul, neden bana zulmediyorsun?› dedi. ‹Üvendireye karşı tepmekle kendine zarar veriyorsun.›

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Swahili

baadaye, idadi ya wanafunzi ilipokuwa inazidi kuongezeka, kulitokea manung'uniko kati ya wanafunzi waliosema kigiriki na wale waliosema kiebrania. wale waliosema kigiriki walinung'unika kwamba wajane wao walikuwa wanasahauliwa katika ugawaji wa mahitaji ya kila siku.

Turkish

İsanın öğrencilerinin sayıca çoğaldığı o günlerde, grekçe konuşan yahudiler, günlük yardım dağıtımında kendi dullarına gereken ilginin gösterilmediğini ileri sürerek İbranice konuşan yahudilerden yakınmaya başladılar.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Reference: Wikipedia

Get a better translation with
7,788,876,065 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK