Results for maafisa translation from Swahili to Turkish

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Turkish

Info

Swahili

hii ni mara ya tano maafisa wa usalama wanafunga njia kwa ajili ya kuwapisha watu maalumu kwenye jiji hilo ndani ya mwaka huu.

Turkish

bu, bir yıl içinde vip güvenliğinin şehrin trafiğini kısıtlamasının beşincisi oldu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kama mchango wangu kwa taifa langu katika kufanikisha hukumu ya kifo kwa ufanisi, ninatumaini kuwa kifaa hiki kitawavutia maafisa.

Turkish

İdam cezalarının başarıyla uygulanmasında benden bir destek olarak, umuyorum ki, bu buluş yetkililerin ilgisini çeker.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mwanaume huyu kwa sasa yuko kizuizini na anashitakiwa kwa makosa ya ubakaji, wanasema maafisa wa uruguay walipozungumza na agence france-presse.

Turkish

uruguaylı yetkililer agence france-presse'ye sanığın şu an gözaltında olduğunu ve tecavüz suçuyla yargılanacağını belirtti.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

tangu kuanzishwa kwake, mtandao huo umetoa wito kwa maafisa wa majiji, majimbo na hata kwa ngazi ya kitaifa kutoa ulinzi kwa waandamanaji na kuruhusu kusambazwa kwa habari kwa kigezo kwamba vyote hivyo vinafanyika katika namna ya amani na inayozingatia sheria, na kwa mujibu wa viwango vya kimataifa vya haki za binadamu.

Turkish

kurulan ağ ilk zamanlarından beri şehir, eyalet ve ulusal yetkililere ulaşarak bilgi akımını ve eylemcilerin güvenliğini, uluslararası insan hakları standartlarına göre barışçıl ve hukuka uygun bir şekilde koruyorlar.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
8,926,786,263 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK