Results for tajiri translation from Swahili to Turkish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Turkish

Info

Swahili

tajiri

Turkish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Turkish

Info

Swahili

akiwa tajiri au masikini mwenyezi mungu anawastahikia zaidi.

Turkish

(haklarında şahitlik ettikleriniz) zengin olsunlar, fakir olsunlar allah onlara (sizden) daha yakındır.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini huyo mtu aliposikia hayo, alihuzunika sana kwa sababu alikuwa tajiri sana.

Turkish

adam bu sözleri duyunca çok üzüldü. Çünkü son derece zengindi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kweli dini humfanya mtu awe tajiri sana, ikiwa anatosheka na vitu alivyo navyo.

Turkish

oysa eldekiyle yetinerek tanrı yolunda yürümek büyük kazançtır.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na aliye kuwa tajiri naajizuilie, na aliye fakiri basi naale kwa kadri ya ada.

Turkish

zengin olan (veli) iffetli olmaya çalışsın, yoksul olan da (ihtiyaç ve emeğine) uygun olarak yesin.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

huyo aliyekuwa tajiri akasema: basi baba, nakuomba umtume aende nyumbani kwa baba yangu,

Turkish

‹‹zengin adam şöyle dedi: ‹Öyleyse baba, sana rica ederim, lazarı babamın evine gönder.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

kulikuwa na mtu mmoja mjini, jina lake zakayo ambaye alikuwa mkuu wa watoza ushuru tena mtu tajiri.

Turkish

orada vergi görevlilerinin başı olan, zakkay adında zengin bir adam vardı.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

akiwa tajiri au masikini mwenyezi mungu anawastahikia zaidi. basi msifuate matamanio, mkaacha kufanya uadilifu.

Turkish

hatta zengin, yahut yoksul bile olsa, çünkü allah ikisine de sizden daha ziyade sahiptir, sizden daha fazla korur onları ve siz, adaleti icra ederken nefsinizin dileğine uymayın.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

na aliye kuwa tajiri naajizuilie, na aliye fakiri basi naale kwa kadri ya ada. na mtakapo wapa mali yao washuhudizieni.

Turkish

mallarını kendilerine verdiğiniz zaman, yanlarında şahid bulundurun.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

ilipokuwa jioni, akaja mtu mmoja tajiri mwenyeji wa armathaya, jina lake yosefu. yeye pia alikuwa mwanafunzi wa yesu.

Turkish

akşama doğru yusuf adında zengin bir aramatyalı geldi. o da İsanın bir öğrencisiydi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hapo yesu akawaambia wanafunzi wake, "kweli nawaambieni, itakuwa vigumu sana kwa tajiri kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Turkish

İsa öğrencilerine, ‹‹size doğrusunu söyleyeyim›› dedi, ‹‹zengin kişi göklerin egemenliğine zor girecek.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

naam, ni rahisi zaidi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa mungu."

Turkish

‹‹nitekim devenin iğne deliğinden geçmesi, zenginin tanrı egemenliğine girmesinden daha kolaydır.››

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

"ikatokea kwamba huyo maskini akafa, malaika wakamchukua, wakamweka karibu na abrahamu. na yule tajiri pia akafa, akazikwa.

Turkish

‹‹bir gün yoksul adam öldü, melekler onu alıp İbrahimin yanına götürdüler. sonra zengin adam da öldü ve gömüldü.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

jua huchomoza na kwa joto lake kali hukausha mimea, nayo maua yake huanguka, na uzuri wake wote huharibika. vivyo hivyo, tajiri ataangamizwa katika shughuli zake.

Turkish

güneş yakıcı sıcağıyla doğar ve otu kurutur. otun çiçeği düşer, görünüşünün güzelliği yok olur. zengin de bunun gibi kendi uğraşları içinde kaybolup gidecektir.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

"palikuwa na mtu mmoja tajiri, ambaye alikuwa anavaa mavazi ya bei kubwa sana ya rangi ya zambarau, na ya kitani safi, na kufanya sherehe kila siku.

Turkish

‹‹zengin bir adam vardı. mor, ince keten giysiler giyer, bolluk içinde her gün eğlenirdi.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

kuweni wenye kusimamisha uadilifu, mtowao ushahidi kwa ajili ya mwenyezi mungu, ijapo kuwa ni juu ya nafsi zenu, au wazazi wawili na jamaa zenu. akiwa tajiri au masikini mwenyezi mungu anawastahikia zaidi.

Turkish

kendiniz, ana babanız ve yakınlarınız aleyhlerine de olsa, allah için şahit olarak adaleti gözetin; ister zengin, ister fakir olsun, allah onlara daha yakındır.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

najua taabu zako; najua pia umaskini wako, ingawaje kwa kweli wewe ni tajiri; najua kashfa walizokufanyia wale wanaojiita wayahudi lakini si wayahudi wa kweli, bali ni kundi lake shetani.

Turkish

‹sıkıntılarını, yoksulluğunu biliyorum. oysa zenginsin! yahudi olduklarını söyleyen, ama yahudi değil de Şeytanın havrası durumunda olanların iftiralarını biliyorum.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wewe unajisema, mimi ni tajiri; ninajitosheleza, sina haja ya kitu chochote. kumbe, hujui kwamba wewe ni mnyonge, unahitaji kuhurumiwa, maskini, kipofu tena uko uchi!

Turkish

zenginim, zenginleştim, hiçbir şeye gereksinmem yok diyorsun; ama zavallı, acınacak durumda, yoksul, kör ve çıplak olduğunu bilmiyorsun.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,778,236,500 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK