Results for tofauti translation from Swahili to Turkish

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Turkish

Info

Swahili

tofauti

Turkish

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Turkish

Info

Swahili

basi, kutokana na tofauti hii, yesu amekuwa mdhamini wa agano lililo bora zaidi.

Turkish

böylece İsa daha iyi bir antlaşmanın kefili olmuştur.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

maana ni lazima fikira tofauti ziweko miongoni mwenu, ili wale walio thabiti wapate kutambulikana.

Turkish

Çünkü tanrının beğenisini kazananların belli olması için aranızda bölünmeler olması gerekiyor!

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hizo zote ni kazi za roho huyohuyo mmoja, ambaye humpa kila mtu kipaji tofauti, kama apendavyo mwenyewe.

Turkish

bunların tümünü etkin kılan tek ve aynı ruhtur. ruh bunları herkese dilediği gibi, ayrı ayrı dağıtır.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, nasema hivi: mrithi, akiwa bado mtoto, hawi tofauti na mtumwa ingawaje mali yote ni yake.

Turkish

Şunu demek istiyorum: mirasçı her şeyin sahibiyse de, çocuk olduğu sürece köleden farksızdır.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mtu asemaye hivyo heri akumbuke kwamba hakuna tofauti ya yale tunayoandika katika barua wakati tuko mbali, na yale tutakayofanya wakati tutakapokuwa nanyi.

Turkish

böyle diyenler şunu bilsin ki, uzaktayken mektuplarımızda ne diyorsak, aranızdayken de öyle davranıyoruz.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika kujaribu kufanya tofauti, wananchi wa kenya mtandaoni wamefanya jitihada kubwa za kutangaza majina na sura za marehemu waliopoteza maisha yao kufuatia shambulio hilo.

Turkish

karşılık olarak, çevrimiçi kenyalılar vahşi olayın mağdurlarına yüz ve isim verme çabasına giriştiler.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

hivyo, hakuna tena tofauti kati ya myahudi na mgiriki, mtumwa na mtu huru, mwanamume na mwanamke. nyote ni kitu kimoja katika kuungana na kristo yesu.

Turkish

artık ne yahudi ne grek, ne köle ne özgür, ne erkek ne dişi ayrımı var. hepiniz mesih İsada birsiniz.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini sisi ni wake mungu. mtu anayemjua mungu hutusikiliza, mtu asiye wa mungu hatusikilizi. basi, kwa njia hiyo tunaweza kutambua tofauti kati ya roho wa ukweli na roho wa uongo.

Turkish

bizse tanrıdanız; tanrıyı tanıyan bizi dinler, tanrıdan olmayan dinlemez. gerçeğin ruhuyla yalan ruhunu böyle ayırt ederiz.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

lakini, wapenzi wangu, msisahau kitu kimoja! mbele ya bwana, hakuna tofauti kati ya siku moja na miaka elfu; kwake yote ni mamoja.

Turkish

sevgili kardeşlerim, şunu unutmayın ki, rabbin gözünde bir gün bin yıl, bin yıl bir gün gibidir.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

katika hali hii, hakuna tena tofauti kati ya mgiriki na myahudi, aliyetahiriwa na asiyetahiriwa, msomi na asiye msomi, mtumwa na mtu aliye huru. kristo ni kila kitu, na yumo katika yote.

Turkish

bu yenilikte grek ve yahudi, sünnetli ve sünnetsiz, barbar, İskit, köle ve özgür ayrımı yoktur. mesih her şeydir ve her şeydedir.

Last Update: 2012-05-05
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

eunice aliweka mithali ya ki-kenya, kwa kutumia alama habari tofauti— #kenyanlivesmatter , sawa sawa na kampeni ya #blacklivesmatter nchini marekani:

Turkish

abd'deki #blacklivesmatter (siyahilerin yaşamları Önemlidir) hareketi üzerine #kenyanlivesmatter (kenyalı yaşamları Önemlidir) etiketini kullandı.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
7,799,628,459 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK