Results for wakazi translation from Swahili to Ukrainian

Computer translation

Trying to learn how to translate from the human translation examples.

Swahili

Ukrainian

Info

Swahili

wakazi

Ukrainian

 

From: Machine Translation
Suggest a better translation
Quality:

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

Swahili

Ukrainian

Info

Swahili

wakazi wote wa luda na saroni walimwona enea, na wote wakamgeukia bwana.

Ukrainian

І бачили його всі, що жили в Лиддї та в Саронї, котрі навернулись до Господа.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

mfalme herode aliposikia hayo, alifadhaika, yeye pamoja na wakazi wote wa yerusalemu.

Ukrainian

Почувши ж цар Ірод, стрівожив ся, і ввесь Єрусалим із ним.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wananchi wa athene na wakazi wengine wa huko walikuwa wanatumia wakati wao wote kuhadithiana na kusikiliza habari mpyampya.

Ukrainian

Усї бо Атиняне і захожі чужоземці ні про що инше не дбали, як говорити або слухати що нове.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wafalme wa dunia wamefanya uzinzi pamoja naye; na wakazi wa dunia wamelewa divai ya uzinzi wake."

Ukrainian

з котрою блудили парі земні, і впивались вином блудодїяння її, ті, що домують на землї.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Swahili

aliendelea kufanya hivyo kwa muda wa miaka miwili hata wakazi wote wa asia, wayahudi na watu wa mataifa mengine, wakaweza kusikia neno la bwana.

Ukrainian

Се діялось два роки, так що всї, що проживали в Азиї, слухали слово Господа Ісуса, - Жиди й Єленяне.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

wakazi wa nchi ya gerase walishikwa na hofu kubwa. kwa hiyo wakamwomba yesu aondoke, aende zake. hivyo yesu alipanda tena mashua, akaondoka.

Ukrainian

І благав Його ввесь народ околиці Гадаринської вийти від них, бо страх великий обняв їх; Він же, ввійшовши в човен, вернув ся.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

aliwapotosha wakazi wa dunia kwa miujiza hiyo aliyojaliwa kutenda mbele ya mnyama wa kwanza. aliwaambia wakazi wa dunia watengeneze sanamu kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa amejeruhiwa kwa upanga lakini akaishi tena.

Ukrainian

І підманює домуючих на землї через ознаки, що дано йому робити їх перед зьвіром, говорячи домуючим на землї, щоб робили образ зьвіра, що має рану від меча, і ожив.

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Swahili

basi, wakalia kwa sauti kubwa: "ee bwana, uliye mtakatifu na mwaminifu, mpaka lini utakawia kulipiza kisasi kwa wakazi wote wa dunia kwa ajili ya kuuawa kwetu?"

Ukrainian

Доки, Владико сьвятий і правдивий, не будеш судити і мстити за кров нашу над тими, що домують на землї?

Last Update: 2012-05-04
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

Get a better translation with
7,790,613,474 human contributions

Users are now asking for help:



We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK