Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
لانه نصب المسكن الاول الذي يقال له القدس الذي كان فيه المنارة والمائدة وخبز التقدمة.
palitengenezwa hema ambayo sehemu yake ya nje iliitwa mahali patakatifu. humo mlikuwa na kinara cha taa, meza na mikate iliyotolewa kwa mungu.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
كيف دخل بيت الله واخذ خبز التقدمة وأكل واعطى الذين معه ايضا. الذي لا يحل اكله الا للكهنة فقط.
yeye aliingia ndani ya nyumba ya mungu, akachukua ile mikate iliyowekwa mbele ya mungu, akala na kuwapa wenzake. kisheria, ni makuhani tu peke yao ndio walioruhusiwa kula mikate hiyo."
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
. . في بلد غني بالثروات الطبيعية، حرم مبيكي أهم ثروة فيه، ألا وهي الناس، من فرصة هامة للتقدم في الصراع مع الإيدز.
katika nchi ambayo ina utajiri mkubwa wa maliasili, amehadaa rasilimali watu iliyo muhimu sana, kwa kuwanyima fursa ya watu kuamua na kuanza kupambana na tatizo hili la ukimwi kikamilifu.”
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: