Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
mladiæa odvedoe iva, neizmjerno utjeeni.
wale watu walimchukua yule kijana nyumbani akiwa mzima kabisa, wakapata kitulizo kikubwa.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
izbacie ga iz grada pa ga kamenovahu. svjedoci odloie haljine do nogu mladiæa koji se zvao savao.
wakamtoa nje ya mji, wakampiga mawe. wale mashahidi wakayaweka makoti yao chini ya ulinzi wa kijana mmoja jina lake saulo.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
i uavi u grob, ugledaju mladiæa zaogrnuta bijelom haljinom gdje sjedi zdesna. i preplae se.
walipoingia kaburini, walimwona kijana mmoja aliyevaa vazi jeupe, ameketi upande wa kulia; wakashangaa sana.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
tisuænik onda otpusti mladiæa i zapovjedi mu: "nikomu ne kazuj da si mi to dojavio."
mkuu wa jeshi alimwacha aende zake akimwonya asimwambie mtu yeyote kwamba amemletea habari hizo.
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
pavao pak pozove jednog satnika i reèe mu: "ovog mladiæa odvedi k tisuæniku: ima mu neto dojaviti."
hapo paulo akamwita mmoja wa askari, akamwambia, "mchukue kijana huyu kwa mkuu wa jeshi; ana kitu cha kumwambia."
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
on ga uze, odvede k tisuæniku i reèe mu: "uznik me pavao pozva i zaiska da ovog mladiæa privedem k tebi; ima ti neto reæi."
askari akamchukua huyo kijana, akamwongoza mpaka kwa mkuu wa jeshi, akasema, "yule mfungwa paulo ameniita akaniomba nimlete kijana huyu kwako kwa maana ana jambo la kukwambia."
Última actualización: 2012-05-05
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible