De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
the kabila administration argues that a census is necessary prior to issuing the electoral lists for the presidential and parliamentary elections of 2016.
utawala wa kabila unadai kwamba sensa ni zoezi muhimu na linalostahili kupewa kipaumbele ili kuhakikisha kwamba orodha ya wapiga kura inaandaliwa vyema kwa ajili ya uchaguzi ujao wa rais na wabunge unaotarajiwa kufanyika 2016.
kabila is barred by the constitution from seeking a third term, however his term would be automatically prolonged until the census is completed.
kabila anazuiwa na katiba ya nchi hiyo kugombea kwa kipindi cha tatu, ingawa kwa kampeni ya sasa itabidi andelee kutawala mpaka sensa itakapokamilika.
he was not there as a chadema supporter at a rally, so he was not even breaching the police ban on political activities during the census period.
hakuwa pale kama mfuasi wa chadema kwenye mkutano ule, kwa hivyo hakuwa anavunja amri ya polisi kupiga marufuku shughuli zozote za kisiasa wakati wa zoezi la sensa.
kabila seeks to indirectly extend his term, which is coming to an end next year, by organizing a census that would take 3 years to complete.
kabila anaonekana kutumia mbinu zisizo za moja kwa moja kutafuta kugombea muhula mwingine wa urais katika uchaguzi wa unaotarajiwa kufanyika mwakani, kwa kuandaa sensa ambayo kwa kawaida huchukua miaka mitatu kukamilika.
a 2006 census claimed that almost a million egyptians suffered some sort of disability, yet dedicated ngos and international organizations estimate these to be at least 8.5 million.
sensa ya 2006 ilionyesha kuwa karibu wamisri milioni walikuwa na aina fulani ya ulemavu, lakini mashirika yasiyo ya kiserikali yenye ari na mashirika ya kimataifa yanakadiria kuwa idadi yao haipungui milioni 8.5.
they tell us that mwangosi was in nyololo together with several other journalists to report on chadema opening an office in the village, in defiance of police orders against political activities during the census period.
wanatuambia kwamba mwangosi alikuwa nyololo pamoja na waandishi wengine kuandika habari za chadema kufungua ofisi kijijini hapo, kinyume na amri ya polisi kuzuia shughuli za kisiasa wakati huo wa zoezi la sensa.
according to the most recent census, el alto has a population of 827,000 people , which is increasing every year at a rate of 5.1% per year.
kwa mujibu wa sensa ya hivi karibuni, el alto ina jumla ya watu wapatao 827,000 ,ambapo idadi hiyo inakua kwa 5.1% kila mwaka.
female literacy in the country (based on 2001 census) is at 53.63% compared to 75.26% for male, but indian women are not completely shut off from the political process.
wanawake wanaojua kusoma na kuandika nchini (kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2001) ni asilimia 53 tu ikilinganishwa na asilimia 75 kwa wanaume, hata hivyo wanawake wa india hawajatengwa kabisa kutoka katika mchakato wa kisiasa.