Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
dernière information en date, donnée par @nayzek
na kama hiyo haitoshi, katika mwendelezo zaidi, @nayzek anaandika kwenye twita:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
la fièvre a commencé à augmenter la nuit dernière
joto mwilini lilianza kuongezeka usiku wa jana
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
les règles ont changé au venezuela la nuit dernière.
hali ya mambo imebadilika nchini venezuela usiku wa kuamkia leo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
à nous appartient, certes, la vie dernière et la vie présente.
na hakika ni yetu sisi akhera na dunia.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
la semaine dernière, la croix a été enlevée et mise en pièces.
wiki iliyopita, msalaba uling'olewa na kuvunjwavunjwa vipande vidogovidogo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
la discussion du 6 mars approfondira la discussion réussie de la semaine dernière.
gumzo la tarehe 6 mwezi wa 3 litajenga mada iliyoletwa katika majadiliano yaliofanikiwa wiki iliyopita.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
la dernière fois qu'israël a envahi gaza 1.387 palestiniens ont été tués.
mara ya mwisho israeli kuivamia gaza, wa-palestina 1,387 waliuawa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
il y a eu un nouveau tremblement de terre la nuit dernière et aussi un ce matin.
usiku uliopita kulikuwa na tetemeko lingine na hata asubuhi ya leo pia.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
la dernière fois que j'ai vérifié, son fils kimathi travaillait à la fidelity bank.
mara ya mwisho nilipoangalia, mwanawe wa kiume, kimathi, anafanya kazi na benki ya fidelity.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
c'est dans la dernière partie que les explications les plus controversées peuvent être trouvées :
lakini ni katika sehemu ya mwisho ya makala ambako moja ya maelezo tata yanapatikana :
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
a cause de cette dernière sortie, je refuse de qualifier zaid de “rebelle”.
kwa kitendo chake hiki kipya zaidi ya vyote, sitaki tena kumuelezea zaid kama “mtu mwenye maamuzi machachari”.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
la dernière fois que j'étais là, c'était il y a presque un an et demi.
ni karibu ya mwaka na nusu tangu nilipokuwa hapa kwa mara mwisho.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
"vous pouvez toujours attendre !" a sèchement commenté dmitri peskov sur la dernière nouvelle du vatican.
"haiwezekani hata kidogo!" - dmitry peskov alijibu kwa haraka habari hizo kutoka vatican.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
depuis la semaine dernière, notre bureau de washington dc a adopté une configuration entièrement à distance conformément aux conseils de san francisco.
hadi wiki iliyopita, ofisi yetu ya dc ilihamisha kazi zake ili kuweza kufanyiwa mbali kulingana na maagizo yaliyoshirikiwa na san francisco.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
cette initiative arrive un an après la dernière tentative d'interdiction de l'avortement par les législateurs ukrainiens.
hatua hii inakuja mwaka mmoja tu tangu bunge la ukraine lilipojaribu na kushindwa kuzuia utoaji mimba.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
beaucoup de choses ont changé depuis février, quand j'avais établi la dernière liste des top 50 sites les plus visités du kenya.
mengi yamebadilika tangu mwezi januari, wakati nilipotoa orodha ya tovuti maarufu zaidi nchini kenya.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
cette demeure dernière, nous la réservons à ceux qui ne recherchent, ni à s'élever sur terre, ni à y semer la corruption.
hayo ndiyo makaazi ya akhera, tumewafanyia wale wasio taka kujitukuza duniani wala ufisadi.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
la semaine dernière, nous avons appris que l’un de nos collègues basés à san francisco pourrait avoir été exposé au virus covid-19.
wiki iliyopita, tulifahamu kwamba mmoja wa wenzetu walio sf huenda aliambukizwa virusi vya covid-19.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
le manx, sur l'île de man, ici, au royaume-uni, est mort avec la dernière personne qui le parlait, en 1974.
ki-manx, kutoka kisiwa cha man, hapa uingereza kilitokomea na mzungumzaji wake pekee mwaka 1974.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
de toute façon, la moitié de mes invités à l'iftar de l'année dernière sont soit en prison, soit en exil, soit dans la clandestinité :)
hata hivyo, nusu ya wale ambao mimi niliwaalika kwa ajili ya iftar mwaka jana wako jela, uhamishoni au ni watuhumiwa wa makosa ya jinai)
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: