De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
i am from england
mimi ni kutoka uingereza
Última actualización: 2021-02-14
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
i want pictures of x from england
nataka picha za x kutoka uingereza
Última actualización: 2023-11-19
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
i wish you could come to england one day
nataman kufika huko siku moja
Última actualización: 2023-09-14
Frecuencia de uso: 2
Calidad:
Referencia:
i also lived in england for almost 15 years (on and off).
vile vile nimeishi uingereza kwa takribani miaka kumi na mitano (nikiondoka na kurudi).
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the rcgp rsc, a network of over 500 general practices in england, extract pseudonymized data weekly.
rcgp rsc, mtandao wa zaidi ya huduma 500 za jumla nchini uingereza, hukusanya data isiyotambulishwa kila wiki.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the crowd had gathered at the club to watch the euro 2012 quarter-final between england and italy.
umati huo ulikuwa umekusanyika katika baa kutazama robo fainali ya kombe la ulaya kati ya uingereza na italia.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the disease surveillance program is commissioned by public health england (phe) and covers 37 infectious diseases, including influenza.
mpango wa uchunguzi wa ugonjwa unafadhiliwa na public health england (phe) na huhusisha magonjwa 37 ya kuambukizana, ikiwa ni pamoja homa ya mafua.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
on tuesday 9 october, 1962, uganda got its independence as the union jack flag of england was lowered, the ugandan flag raised whilst jubilant ugandans sang the uganda national anthem.
mnamo jumanne ya oktoba 9, 1962, uganda ilijitwalia uhuru wake wakati bendera ya uingereza iliposhushwa, na bendera ya uganda kupandishwa wakati huo wa-ganda wenye furaha na matumaini mapya wakiimba wimbo wa taifa la uganda.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
in a minute way, very minute, our position is similar to england’s, currently bossed by roy hodgson. bags of potential, no actual results.
kwa namna ndogo sana, ndogo sana, mazingira yetu hayana tofauti na timu ya uingereza, inayoongozwa na roy hodgson; kuna uwezakano mkubwa wa ushindi lakini ushindi wenyewe haupatikani.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the new england journal of medicine reports that a lack of hand-washing remains at unacceptable levels in most medical environments, with large numbers of doctors and nurses routinely forgetting to wash their hands before touching patients, thus transmitting microorganisms.
jarida la the new england linaripoti kuwa ukosefu wa kuosha mikono unasalia katika viwango visivyokubalika katika mazingira mengi ya kimatibabu, huku idadi kubwa ya madaktari na wauguzi wakisahau kila mara kuosha mikono yao kabla ya kuwagusa wagonjwa na hivyo kusambaza viini.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
...take a sport from england called football, take a snort of glitter-eyed powder-nosed marketing gnomes, a large liquor conglomerate wanting to increase market share, add a white guy called van schalkwyk with a take-the-gap mentality and a plastics factory and what do you get?
…chukua mchezo kutoka uingereza unaoitwa kandanda, chukua kamasi ya kinyago chenye macho yanayong'ara na pua yenye unga ya mfanyabiashara wa kutangaza bidhaa, pamoja na wabia wa makampuni ya pombe ambao wanataka kuongeza hisa kwenye soko la biashara, muongeze jamaa aitwaye van schalkwyk mwenye ile akili-ya-kuhepa uchanganye na kiwanda cha plastiki, unajua unapata nini?
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: