Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
and he spake boldly in the name of the lord jesus, and disputed against the grecians: but they went about to slay him.
pia aliongea na kubishana na wayahudi wasemao kigiriki, lakini wao walijaribu kumwua.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and some of them were men of cyprus and cyrene, which, when they were come to antioch, spake unto the grecians, preaching the lord jesus.
lakini baadhi ya waumini waliotoka kupro na kurene, walikwenda antiokia wakautangaza huo ujumbe kwa watu wa mataifa mengine wakiwahubiria ile habari njema juu ya bwana yesu.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and in those days, when the number of the disciples was multiplied, there arose a murmuring of the grecians against the hebrews, because their widows were neglected in the daily ministration.
baadaye, idadi ya wanafunzi ilipokuwa inazidi kuongezeka, kulitokea manung'uniko kati ya wanafunzi waliosema kigiriki na wale waliosema kiebrania. wale waliosema kigiriki walinung'unika kwamba wajane wao walikuwa wanasahauliwa katika ugawaji wa mahitaji ya kila siku.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad: