De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
mindset
mindset
Última actualización: 2022-04-30
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
it gives the typical pakistani muslim mediocre mindset.
inampa mpakistani muislamu hasa fikra za hali ya chini.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
this mindset always demands some thing extra and undue favor from the wives.
mtizamo na fikra hizo siku zote hutaka jambo la ziada na upendeleo usio wa lazima kutoka kwa wake.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
to add to this media plays a pivotal role in shaping the mindset and attitude of the indian society.
video hii inachangia kwa kiasi kikubwa kubadili fikra na mitazamo ya jamii ya wahindi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
journalist hilath rasheed notes that maldives perhaps will not be able to establish freedom of religion in the next 50 years until the mindset changes among the new generations of maldivians.
kwa maoni ya mwanahabari hilath rasheed, huenda nchi ya maldivi ikashindwa kuegamisha uhuru wa dini katika miaka 50 ijayo, hadi kubadilika kwa mawazo ya vizazi vipya vya wamaldivi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
boys would get the best of the households' food, the girls the leftovers. but this discriminatory mindset has changed tremendously, in part thanks to a cartoon character.
lakini, dhana hii ya ubaguzi imebadilika kwa kiasi kikubwa, kwa kiasi fulani, shukrani zimwendee mchora katuni.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
...despite the ostensible changes in the way the government treats the media, the underlying mindset is much the same as in the past: journalists have been given greater “space” within which to work, but the limits of that space are still decided by the state.
...licha ya mabadiliko yanayoonekana katika jinsi serikali inavyotumikia vyombo vya habari, mawazo ya msingi ni kiasi sawa kama siku za nyuma: waandishi wamepewa "nafasi" zaidi za kufanyia kazi, lakini mipaka ya nafasi hizo bado inaamuliwa na serikali .
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible