Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
and she went and told them that had been with him, as they mourned and wept.
maria magdalene akaenda, akawajulisha wale waliokuwa pamoja na yesu, na wakati huo walikuwa wanaomboleza na kulia.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
and ye are puffed up, and have not rather mourned, that he that hath done this deed might be taken away from among you.
mnawezaje kujivuna? ingekuwa afadhali kwenu kuomboleza, na huyo aliyefanya kitu hicho aondolewe miongoni mwenu.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ras babi babiker mourned saleh's passing too by reminding us about the great novel that made him a major name in the world of modern arabic literature.
ras babi babiker, kadhalika anaomboleza kifo cha saleh kwa kutukumbusha ile riwaya iliyolikuza jina lake katika ulimwengu wa kisasa wa fasihi ya kiarabu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
after a frustrated rant about khartoum international airport's unhygienic condition, sudanese optimist mourned the passing of the respected and well-known sudanese novelist, al-tayeb saleh.
baada ya malalamiko kuhusu hali mbaya ya usalama wa afya kwenye uwanja wa ndege wa khartoum, msudani mwenye matumaini anaomboleza kifo cha mwandishi mashuhuri wa riwaya, al- tayeb saleh.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: