Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
one language is not enough
lugha moja haitoshi
Última actualización: 2015-01-13
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
is god not enough for his servant?
je! mwenyezi mungu si wa kumtosheleza mja wake?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
he laughed and went down in price but not enough.
akacheka na kushusha bei lakini si sana.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
is there not enough room in hell for the arrogant?
si katika jahannamu makaazi ya wanao takabari?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
is it not enough that thy lord doth witness all things?
haikutoshi kwamba mola wako mlezi kuwa yeye ni shahidi wa kila kitu?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
is it not enough that your lord is a witness over everything?
haikutoshi kwamba mola wako mlezi kuwa yeye ni shahidi wa kila kitu?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
is it not enough that your lord is the witness of all things?
haikutoshi kwamba mola wako mlezi kuwa yeye ni shahidi wa kila kitu?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
this man was the rcc chief director under npp and that was not enough for him.
mtu huyu alikuwa mkurugenzi mkuu wa rcc chini ya npp na hiyo haikumtosha.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
and if this is not enough, in a further development, @nayzek tweets:
na kama hiyo haitoshi, katika mwendelezo zaidi, @nayzek anaandika kwenye twita:
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
is it not enough for them that we have revealed the book to you to be recited to them.
je! kwani hayakuwatosha ya kwamba tumekuteremshia kitabu hiki wanacho somewa?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
there is not enough space on the destination. try to remove files to make space.
hakuna nafasi ya kutosha kwenye pakwenda. jaribu kuyaondoa mafaili ili kufanyiza nafasi.
Última actualización: 2014-08-15
Frecuencia de uso: 3
Calidad:
Referencia:
is it not enough for them that we have revealed to you the book which is recited to them?
je! kwani hayakuwatosha ya kwamba tumekuteremshia kitabu hiki wanacho somewa?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
and is it not enough for them that we have sent down to thee the book which is rehearsed to them?
je! kwani hayakuwatosha ya kwamba tumekuteremshia kitabu hiki wanacho somewa?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
sudanese blogger and global voices author drima believes that internet and mobile phones are not enough.
mwanablogu wa sudani na mwandishi wa global voices drima anaamini kuwa intaneti na simu za viganjani havitoshi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
not enough talk in the media about the terrorist attack at the university in kenya, are 147 dead not enough ?!
haitoshi kuzungumzia shambulio hili la kigaidi lililotokea katika chuo kikuu cha kenya kwenye mitandao ya kijamii, watu 147 ni wachache?!
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
to me, they are all the same: selfish, because they know very well that the tax that is collected in this country is not enough.
kwangu wote wanafanana: wabinafsi, kwa ni wanafahamu fika kwamba kodi inayokusanywa hapa nchini haitoshi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
but good laws and proactive citizens are not enough; tools are also important to enable women around the world to take action and promote transparency.
lakini sheria nzuri na raia wanaojituma kudai haki zao bado havitoshi; nyenzo pia ni muhimu ili kuwawezesha wanawake sehemu mbalimbali duniani kuchukua hatua ili kuhamasisha uwazi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the carnival celebration is not enough to reinforce the national sense of belonging in the absence of a popular memory, a joint identity and institutions sponsoring citizenship.
sherehe hizo za kitaifa hazitoshi kuhamasisha hisia za utaifa wakati kumbukumbu muhimu hazipo, utambulisho wa pamoja na taasisi zinazofadhili uraia hazipo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
he asserts that educating own children is not enough, there is a need to work extra hard towards fostering the children of fellow citizens to inspire them to become good human beings.
yeye anadai kwamba kuwaelimisha watoto wewe mwenyewe haitoshi, kuna haja ya kufanya kazi ya ziada kwa bidii kuelekea kukuza watoto wa wananchi wenzangu kuwahamasisha wao kuwa binadamu wazuri.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
but the wise answered, saying, not so; lest there be not enough for us and you: but go ye rather to them that sell, and buy for yourselves.
lakini wale wenye busara wakawaambia, hayatatutosha sisi na ninyi! afadhali mwende dukani mkajinunulie wenyewe!
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: