Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
and he is the propitiation for our sins: and not for ours only, but also for the sins of the whole world.
kristo ndiye sadaka iondoayo dhambi zetu; wala si dhambi zetu sisi tu, bali pia dhambi za ulimwengu wote.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
herein is love, not that we loved god, but that he loved us, and sent his son to be the propitiation for our sins.
hivi ndivyo upendo ulivyo: si kwamba sisi tulikuwa tumempenda mungu kwanza, bali kwamba yeye alitupenda hata akamtuma mwanae awe sadaka ya kutuondolea dhambi zetu.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
whom god hath set forth to be a propitiation through faith in his blood, to declare his righteousness for the remission of sins that are past, through the forbearance of god;
mungu alimtoa yesu kusudi, kwa damu yake, awe njia ya kuwaondolea watu dhambi zao kwa imani yao kwake. alifanya hivyo ili apate kuonyesha kwamba yeye ni mwadilifu. hapo zamani mungu alikuwa mvumilivu bila kuzijali dhambi za watu;
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad: