Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
egypt needs at least a two-goal win to force a playoff on a neutral ground while algeria, which has failed to qualify to the world cup since 1986, will battle to keep its current leading position in the qualifiers group.
misri inahitaji japo ushindi wa magoli mawili ili kulazimisha mchezo wa kukata shauri katika uwanja wa nchi nyingine ambapo algeria, ambayo imeshindwa kufaulu kwenda kombe la dunia tangu 1986, itapambana ili kutunza nafasi yake ya sasa ya kuongoza katika kundi la wanaogombania nafasi ya kufaulu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
the dismal performance that kenya's national football team, harambee stars, has shown over the past four years is something the country's football fans hope to put behind them.with 2013 africa cup of nations qualifiers and 2014 world cup pre-qualifiers coming up soon, kenyan football authorities wait to see see what difference henri michel may make.
kwa kuwa mechi za kufuzu kushiriki mashindano ya kombe la mataifa ya afrika mwaka 2013 na kombe la dunia mwaka 2014 zinakaribia, mamlaka za kandanda kenya wanangoja kuona tofauti gani ya maana ambayo michel anaweza kuileta.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad: