De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
sneezing
kupiga chafya
Última actualización: 2016-09-14
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
sneezing
kupiga kamsa
Última actualización: 2014-05-20
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
After blowing your nose, coughing or sneezing.
Baada ya kupenga makamasi, kukohoa au kupiga chafya.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Less commonly, upper respiratory symptoms such as sneezing, runny nose or sore throat may be seen.
Zisizo kawaida; dalili katika sehemu ya juu ya kupumua kama vile kupiga chafya, kamasi puani au maumivu ya koo yanaweza kuonekana.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
The CDC recommends covering the mouth and nose with a tissue when coughing or sneezing and recommends using the inside of the elbow if no tissue is available.
CDC inapendekeza kufunika mdomo na pua kwa kutumia tishu unapokohoa au kupiga chafya na inapendekeza kutumia ndani ya kiwiko ikiwa hakuna tishu inayopatikana.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Health organizations recommended that people cover their mouth and nose with a bent elbow or a tissue when coughing or sneezing, and disposing of any tissue immediately.
Mashirika ya afya zilipendekeza kuwa watu wafunike midomo na mapua kwa kutumia kiwiko iliyokunjwa au tishu wakati wanakohoa au kupiga chafya, na kutupa tishu yoyote mara moja.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
SARS-CoV-2 is highly transmittable through coughing or sneezing, and possibly also through direct contact with materials contaminated by the virus.
SARS-CoV-2 inasambazwa zaidi kupitia kikohozi au kupiga chafya na pia inaweza kusambazwa kupitia kugusana moja kwa moja na vifaa viliyochafuliwa na virusi.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Surgical masks are recommended for those who may be infected, as wearing a mask can limit the volume and travel distance of expiratory droplets dispersed when talking, sneezing, and coughing.
Barakoa ya kimatibabu hupendekezwa kwa wale ambao huenda wameambukizwa, kwa vile kuvaa barakoa huweza kudhibiti kiasi na umbali wa kusafiri kwa matone ya kupumua inayosambazwa unapozungumza, kupiga chafya, na kukohoa.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
More than 568,000 people have recovered.The virus is primarily spread between people during close contact, often via small droplets produced by coughing, sneezing, or talking.
Zaidi ya watu 568,000 wamepona. Virusi hivi husambazwa hasa kati watu wanaotangamana kwa karibu, mara nyingi kupitia matone madogo yanayotolewa wakati wanakukohoa, kupiga chafya, au kuongea.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
The CDC also recommends that individuals wash hands often with soap and water for at least 20 seconds, especially after going to the toilet or when hands are visibly dirty, before eating and after blowing one's nose, coughing or sneezing.
CDC pia inapendekeza kuwa watu waoshe mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji kwa angalau sekunde 20, hasa baada ya kwenda chooni au wakati uchafu unaonekana kwenye mikono, kabla ya kula na baada ya kupenga kamasi, kukohoa au kupiga chafya.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
If a person becomes sick on an airplane, proper controls to protect workers and other passengers include separating the sick person from others by a distance of 6 feet, designating one crew member to serve the sick person, and offering a face mask to the sick person or asking the sick person to cover their mouth and nose with tissues when coughing or sneezing.
Ikiwa mtu anakuwa mgonjwa katika ndege, uthabiti vyema kulinda wafanyakazi na abiria wengine hujumuisha kutenga mtu mgonjwa na wengine kwa umbali wa futi 6, kuchagua mfanyakazi mmoja wa ndege kushughulikia mgonjwa, na kumpa barakoa ya uso mgonjwa au kumwomba mgonjwa kufunika mdomo na mapua yao na tishu anapokohoa au kupiga chafya.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Other occasions when correct handwashing technique should be practiced in order to prevent the transmission of disease include before and after treating a cut or wound; after sneezing, coughing, or blowing your nose; after touching animal waste or handling animals; and after touching garbage.
Matukio mengine ambapo mbinu sahihi ya kusha mikono inapaswa kufanywa ili kuzuia usambazaji wa ugonjwa ni pamoja na kabla na baada ya kutibu jeraha; baada ya kupiga chafya, kukohoa au kutoa makamasi; baada ya kugusa uchafu wa wanyama au kuwashugulikia; baada ya kugusa taka.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Patients infected with HCoV-229E presented with common cold symptoms, including headache, sneezing, malaise and sore-throat, with fever and cough seen in 10~20% cases.
Wagonjwa walioambukizwa HCoV-229E walionyesha dalili za homa ya kawaida, ikiwa ni pamoja na maumivu ya kichwa, kupiga chafya, uchovu na koo inayouma, huku joto jingi na kikohozi kikionekana katika visa 10~20%.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Strategies for preventing transmission of the disease include maintaining overall good personal hygiene, washing hands, avoiding touching the eyes, nose, or mouth with unwashed hands, and coughing or sneezing into a tissue and putting the tissue directly into a waste container.
Mikakati ya kuzuia kusambaza kwa ugonjwa ni pamoja na kudumisha usafi wa kibinafsi kwa ujumla, kuosha mikono, kuzuia kushika macho, pua, au mdomo na mikono ambayo haijaoshwa, na kukohoa au kupiga chafya kwenye tishu na kuweka tishu chafu moja kwa moja ndani ya chombo cha taka.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
The CDC recommends that people wash hands often with soap and water for at least twenty seconds, especially after going to the toilet or when hands are visibly dirty; before eating; and after blowing one's nose, coughing, or sneezing.
CDC inapendekeza watu waoshe mikono yao mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji kwa angalau sekunde ishirini, hasa baada ya kuenda chooni au ikiwa mikono yako yaonekana kuwa chafu; kabla ya kula; baada ya kupenga makamasi, kukohoa, au kupiga chafya.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
The disease is believed to be primarily spread during close contact and by small droplets produced during coughing, sneezing, or talking; with close contact being within 1 to 2 metres (3 to 6 feet).
Ugonjwa huu huaminika kuambukizwa kimsingi wakati wa kuwa karibu na kwa matone yanayotoka wakati wa kukohoa, kupiga chafya, au kuzungumza; na mtu aliyekaribu kuwa mita 1 hadi 2 (futi 3 hadi 6).
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: