Usted buscó: stating (Inglés - Suajili)

Contribuciones humanas

De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.

Añadir una traducción

Inglés

Suajili

Información

Inglés

stating:

Suajili

akieleza:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

syria news wire also reported quickly, stating:

Suajili

blogu ya syria news wire kadhalika iliripoti kwa haraka ikieleza:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

finally, iraqi salam pax agreed with razan on the issue, stating:

Suajili

mwisho, muiraki salam pax alikubaliana na razan katika suala hilo, akisema:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

police raised an orange-colored warning sign, stating "disperse or we fire":

Suajili

polisi waliinua bango la tahadhari lenye rangi ya machungwa, lililosema, “tawanyikeni, vinginevyo tunawapiga risasi”:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

they assign to allah what they dislike for themselves and their tongues utter a sheer lie in stating that a happy state awaits them.

Suajili

na wanampa mwenyezi mungu wanavyo vichukia wao, na ndimi zao zinasema uwongo kwamba wao watapata mema.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

after stating that it is better to speak of cultural and social construction as opposed to gender identities, they conclude:

Suajili

baada ya kusema kwamba ni bora kusema kuhusu ujenzi wa kitamaduni na kijamii kama kinyume na utambulisho wa jinsia, wanahitimisha:

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

@mohammedy: so when workers sign a petition stating their problems, the management puts the workers under investigation.

Suajili

@mohammedy: kwa hiyo, pale wafanyakazi wanapotia saini maelezo kuhusu matatizo yanayowakabii, basi uongozi unawaweka wafanyakazi chini ya uchunguzi.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

"kgalema motlanthe, while stating a desire to pursue continuity, has got rid of some of mbeki’s more controversial ministers.

Suajili

“ingawa kgalema motlanthe ameahidi kutoleta mabadiliko makubwa, bado ameatosa baadhi wa mawaziri wenye utata mkubwa waliokuwa kwenye serikali ya mbeki.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Advertencia: contiene formato HTML invisible

Inglés

and when all have arrived, their ears, their eyes, and their skins shall bear witness against them, stating all that they had done in the life of the world.

Suajili

hata watakapo ufikia moto yatawashuhudia masikio yao, na macho yao na ngozi zao kwa waliyo kuwa wakiyatenda.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

these surgeons were annoyed, stating that they had not come here for a holiday, but to help others, and that the least the hospital should have done was to inform the public and raise awareness.

Suajili

wapasuaji hao walifedheheshwa, wakisema kwamba hawakuwa wamekuja kwa likizo, ila kuwasaidia wananchi kupata uelewa.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

at the same time, instituto sangari , a non profit for social awareness on scientific culture based in são paulo, published its 2010 map of violence in brazil stating that 10 women are assassinated everyday in the country.

Suajili

wakati huohuo, instituto sangari , taasisi isiyo ya kibiashara ya kuelimisha jamii juu utamaduni wa kisayansi iliyopo são paulo, ilichapisha ramani ya ukatili nchini brazil ya mwaka 2010 ikieleza kuwa wanawake kumi wanauawa kila siku nchini humo.

Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Inglés

as for those who accuse their wives [of adultery], but have no witnesses except themselves, the testimony of such a man shall be a fourfold testimony [sworn] by allah that he is indeed stating the truth,

Suajili

na wale wanao wasingizia wake zao na hawana mashahidi ila nafsi zao, basi ushahidi wa mmoja wao utakuwa kushuhudilia mara nne kwa kiapo cha mwenyezi mungu ya kwamba hakika yeye ni katika wasema kweli.

Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:

Obtenga una traducción de calidad con
7,772,920,535 contribuciones humanas

Usuarios que están solicitando ayuda en este momento:



Utilizamos cookies para mejorar nuestros servicios. Al continuar navegando está aceptando su uso. Más información. De acuerdo