Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
on twitter, ugandan journalist timothy kalyegira scoffed at the decision with an accompanying dose of satire:
kwenye twita, mwandishi wa habari wa uganda timothy kalyegira aliukejeli uamuzi huu kwa maneno ya mzaha:
know ye that our brother timothy is set at liberty; with whom, if he come shortly, i will see you.
napenda kuwajulisheni kwamba ndugu yetu timotheo amekwisha funguliwa gerezani. kama akifika hapa mapema, nitakuja naye nitakapokuja kwenu.
paul, a prisoner of jesus christ, and timothy our brother, unto philemon our dearly beloved, and fellowlabourer,
mimi paulo, mfungwa kwa ajili ya kristo yesu, na ndugu timotheo, ninakuandikia wewe filemoni mpendwa, mfanyakazi mwenzetu
this charge i commit unto thee, son timothy, according to the prophecies which went before on thee, that thou by them mightest war a good warfare;
mwanangu timotheo, nakukabidhi amri hii kufuatana na maneno ya unabii yaliyosemwa zamani juu yako. yatumie maneno hayo yawe silaha yako katika kupigana vita vizuri,
paul, an apostle of jesus christ by the will of god, and timothy our brother, unto the church of god which is at corinth, with all the saints which are in all achaia:
mimi paulo, mtume wa kristo yesu kwa mapenzi ya mungu, na ndugu timotheo, tunawaandikia ninyi mlio kanisa la mungu huko korintho, na watu wote wa mungu kila mahali katika akaya.