De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
kenyan police say 27 people who were injured in the blast were undergoing treatment.
jeshi la polisi la kenya limesema kwamba watu wapatao 27 wamejeruhiwa na mlipuko huo na wanaendelea na matibabu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
do you think that you will enter paradise without undergoing such trials as were experienced by the believers before you?
mnadhani kuwa mtaingia peponi, bila ya kukujieni kama yaliyo wajia wale walio pita kabla yenu?
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
it is undergoing a phase 2 non randomised test at the national level in italy after showing positive results in people with severe disease.
inapitia awamu ya 2 ya vipimo visivyo na utaratibu maalum katika kiwango cha kitaifa nchini italia baada ya kuonyesha matokeo chanya kwa watu walio na ugonjwa kali.
Última actualización: 2020-08-25
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
obilale is reported to be in stable condition after undergoing surgery in south africa, although he is still breathing with the assistance of a respirator.
hata hivyo, imeripotiwa kwamba hali ya obilale sasa imetengemaa baada ya kufanyiwa upasuaji nchini afrika ya kusini, ingawa bado anaendelea kupumua kwa kutumia mashine maalumu ya kusaidia upumuaji.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
ramírez and his team have also been studying another nearby glacier that is undergoing similar changes and about the effect on the local population. the tuni condoriri glacier is melting at a rapid pace, affecting alpine enthusiasts, but also affecting a vulnerable migrant population that depends on it for drinking water and agricultural activities.
ramírez na timu yake wamekuwa pia wakitafiti barafu iliyoko kwenye mlima mwingine ambao nao umekuwa ukipatwa na athari zinazofanana na huo mwingine na madhara ya mwenendo huo kwa jamii inayoishi maeneo ya jirani. barafu iliyoko kwenye mlima unaoitwa tuni condoriri glacier unayeyuka katika kasi kubwa, hivyo kuwaathiri wapenzi wa alpine, lakini pia hali hiyo inaathiri jamii za wahamiaji walio katika hatari ambao huitegemea ili kujipatia maji ya kunywa na kwa ajili ya shughuli za kilimo.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
let the women [who are undergoing a waiting period] live in the same manner as you live yourselves, in accordance with your means; and do not harass them in order to make their lives difficult.
wawekeni humo humo mnamo kaa nyinyi kwa kadiri ya pato lenu, wala msiwaletee madhara kwa kuwadhiki. na wakiwa wana mimba, wagharimieni mpaka wajifungue.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad: