Aprendiendo a traducir con los ejemplos de traducciones humanas.
De traductores profesionales, empresas, páginas web y repositorios de traducción de libre uso.
i saw him going
aliwaona
Última actualización: 2021-03-10
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
the last time i saw steven.
hii ilikuwa ndio mara yangu ya mwisho kumuona steven.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
he said: "i saw what they did not see.
akasema: niliona wasiyo yaona wao, nikashika gao katika unyao wa mtume.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
i saw that i am ok and my hand\legs work.
niliona kuwa ni mzima na miguu yangu na mikono vuinafanya kazi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
looking closely, i saw people basking in the sun.
nilipotaza kwa karibu, niliwaona watu wakiwa wanaota jua.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
and i saw, and bare record that this is the son of god.
mimi nimeona na ninawaambieni kwamba huyu ndiye mwana wa mungu."
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
just then i saw this guy loitering on the other side of the car.
hapo hapo ndipo nilipomwona jamaa huyu akishangaa shangaa kwenye upande mwingine wa gari.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
i saw that i was covered with blood but it wasn't mine.
niliona kuwa nimelowana na damu lakini damu ile haikuwa yangu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
5.15pm: i saw the result of my polling unit on the internet.
saa 11.15 jioni: niliona matokeo ya kituo changu cha kupigia kura kwenye intaneti.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
then i saw a car speed off and bodies lying all over,” said muthoni.
nililala chini, kisha nikaona gari ikiondoka kwa kasi na miili imetawanyika kila mahali" alisema muthoni.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
Advertencia: contiene formato HTML invisible
i saw yesterday that the video where ivanov said chirac was president of the us was removed.
niligundua jana kuwa video iliyokuwa inamwonyesha ivanov akisema chirac alikuwa rais wa marekani imeondolewa.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
i saw eleven stars and the sun and the moon – i saw them prostrating to me.”
hakika mimi nimeota nyota kumi na moja, na jua, na mwezi. nimeota zikinisujudia.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
and the other said: i saw myself carrying bread on my head, of which birds ate.
na mwingine akasema: mimi nimeota nimebeba mikate juu ya kichwa changu, na ndege wanaila.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
i saw at least 10 other people being pushed and kicked by policemen, and one or two violent arrests.
nilioona si chini ya watu wengine 10 wakisukumwa na kupigwa mateke na polisi, na mmoja au wawili wakikamatwa vurugu.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
i saw eleven planets, and the sun and the moon: i saw them prostrating themselves before me,’
hakika mimi nimeota nyota kumi na moja, na jua, na mwezi. nimeota zikinisujudia.
Última actualización: 2014-07-03
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
@jenanmoussa: in #aleppo i saw a father sitting on rubble, tears in his eyes.
@jenanmoussa: jijini aleppo nilimwona baba amekaa kwenye jabali, akitiririkwa na machozi.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
hey.... ladies and gentlemen 13/06 the date framedy was born the day i saw the sun leme say congraduratn 2 my mothr and big shoutou and thank you 2 the almight god and leme say happy birthday 2 me
hey.... ladies and gentlemen 13/06 the date framedy was born the day i saw the sun leme say congraduratn 2 my mothr and big shoutou and thank 2 the almight god and leme say happy birthday 2 me
Última actualización: 2022-06-13
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
i was a bit sad when i saw the bold headline at modern ghana website yesterday; “rawlings homeless”.
nilisikitishwa kidogo jana pale nilipoona kichwa kikubwa cha habari katika tovuti ya modern ghana “rawlings hana pa kuishi”.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
because i saw a protester being pushed down a flight of stairs and rolling down, a policemen who ran over a protester with his motorcycle and a policemen wearing a helmet who headbutted a protester.
sababu niliona mwandamanaji akisukumwa chini ya ngazi kadhaa na kubingirita chini, polisi aliyemkanyaga mwandamanaji kwa pikipiki yake na polisi ambaye alikuwa amevaa kofia aliyempiga kichwa mwandamanaji.
Última actualización: 2016-02-24
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia:
and i saw another sign in heaven, great and marvellous, seven angels having the seven last plagues; for in them is filled up the wrath of god.
kisha nikaona ishara nyingine mbinguni, kubwa na ya kushangaza. palikuwa hapo malaika saba wenye mabaa makubwa saba ya mwisho. kwa mabaa hayo makubwa saba, ghadhabu ya mungu imekamilishwa.
Última actualización: 2012-05-06
Frecuencia de uso: 1
Calidad:
Referencia: